Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Hapana,hapo ndo nitaharibika mazima
Mmetishwa tu na kupotoshwa, ganja haiharibu kitu, ganja ni bora kuliko sigara na pombe lakini jamii imelishwa sumu kuhusu mmea. Vijana wengi wanaondoka kwa frustration ndogo ndogo kwa kutojua ukweli, kuchoshwa na vitu vya kawaida katika maisha sio dalili nzuri, hasa kwa huu ulimwengu wa sasa !

 
Wanakuwa mazezeta🤣
 
Pole sana to yeye
Uzi wako unaonesha uhalisia wa kweli kwa unayopitia

Kuwa na imani,ishi ukijua magumu yaliyopo sasa hayatadumu
Chochote unachopitia jua hayatakuwa hivi milele,utafika wakati mambo yatakunyookea hutaamini...huu uzi utakuwa ni history

Usichoke kuishi,Mwenyezi Mungu akakupe moyo wa uvumilivu
 
Nakupenda Joanah .... barikiwa sana.Asante
 
Mtwishe Bwana mzigo wako naye atakusaidia.
 
Nimechoka na hii ajira balaaa.

Nipo Head Quarters, Basi, Watumishi wa vijijini na Katani na hata wengine wa Head Quarters....
1. Wanaona na faidi
2. Wengine nikiwatembelea na gari la serikali kwa route za kazi za field, vile naendeshwa na dereva basi wanaona nafaidi.
3. Kuna watumishi wale nilioajiriwa nao pamoja (tuli-report mwaka mmoja), wakiniona nipo juu yao wao hunipa hongera tuuu
Yaani kifupi watumishi wengi niliokuwa nao junior level Leo wakiniona hapa head quarters na ofisi + computer wanaona nimefanikiwaa ila DIP DOWN MY HEART HII AJIRA IMENICHOSHA SANAAA.
YAANI SIIPENDI TENA.

NIMECHOKA HASAAA NA HUU UTUMISHI WA UMMA.

YAANI NIMECHOKAAAAAAAAA

#YNWA
 
4.Nimechoka na kaz yangu(ualimu) kuwahi asubuhi kwenda kuitumikia kaz inayonididimiza kiuchumi,I wish hiyo 11 alfajiri ninapoamka kuoga nioge Kwa biashara yangu nitakayotesekea mpaka usiku lakini inanipatia mafanikio.

Tupo wengi kumbe.

HUU UTUMISHI WA UMMA UMENICHOSHA HASAAA.

Na soon naachia ngazi nikafanye yangu town...!!!

#YNWA
 
🤣🤣🤣 Kweli Mimi nawe ni + na +...tungekutana wote tumechoka na ajira then watoto wangekufa na njaa
 
Ganja uongo aisee ni kitu kibaya sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…