Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano

Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia πŸ˜”πŸ˜Š
Na sie tulotiana kuanzia tarehe moja January 22 hadi Leo tucomment wapi?!
 
Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano

Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia πŸ˜”πŸ˜Š
Nimalize mwaka bila shoo Bado sijafika kupanda huo mtumbwi wa vibwengo. Sina taabia ya Kuyumba nanyoosha rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…