DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mmemchelewesha sana, pale pale aliposema hawalipi na hamna cha kumfanya basi mngemtandika makofi mkaishia zenu. Si hamna mkataba na hakuna sehemu mnajulikana nyie ni wafanyakazi? Kama vile daftari la kusaini in & out kazini!
 

Walivyo na njaa?

Tulishawahi ku report tukio la Jamaa mmoja mwarabu alikuwa Anafanya kazi zisizo halali na kunyanyasa wafanyakazi
Jamaa wakafika wakaongea ongea wakala 500,000
Maisha yakaendelea

Polisi nao hata ukiwapa 100,000 kesi inawekwa upside down[emoji706]
 
Waende kwenye social media.
 
Page yao ya insta wame mute sehemu ya comment
 
CCTV camera zitachukua tukio, halafu kesi ya kuchoma jengo hukumu yake Kama kesi ya kulawiti, kifungo Cha maisha
 

Sehemu kibao wanapoajiri hao wageni hawatoi mikataba na hata ukireport unaambiwa endelea na kazi tutazungumza nao[emoji706]
 
Mbwa hao wanawanyanyasa kwenye nchi yenu? Hebu chukueni chochote hata nyayo mkawaloge wawe machizi.
 
Nimependa Ulivomfunza adabu😂
CMA tunae Wakili ila Jinai tulijitetea wenyewe, natafuta fomu yetu ya CMA nikifanikiwa kupata nitakutumia PM.
 
Sawa Mkuu nitakua nawaletea Mrejesho hapa mpaka mwisho wa kesi utakavyo kua
 
Km mnajua ndo tabia Yake kwann Huwa hamrekodi?.
Ila ningekua mi ningemfurahisha hata nisingeenda huko polisi na angefunga shenz sn
Wanakuwa wanatumia manguvu ya Giza,(miungu Yao) ndo maana we ana nyodo
Tulikua tunakatazwa kutumia simu kazini na mara nyingi simu zetu zilikua zinakusanywa mpaka mda wa kuondoka ndio unarudishiwa simu yako. Hata Mabegi yetu tunaacha nje kwa mlinzi huruhusiwi kuingia nayo
 
Mimi siyo mwanasheria! Wasiwasi wangu kama hawana mkataba uliondikwa na kusainiwa pande zote (Mwajiri na Mwajiriwa),swala likifika mahakamani watashinda kesi na kupata sitahili zao?
Au ni kesi ya kuleta fujo na matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…