Mtanzania Mnyonge22
Senior Member
- Sep 2, 2022
- 125
- 455
- Thread starter
-
- #201
Hilo ndio wanalo jiamini na kujisifu kwamba HatutopAta haki zetu hata tuende wapi sababu hawakutupa MkatabaMimi siyo mwanasheria! Wasiwasi wangu kama hawana mkataba uliondikwa na kusainiwa pande zote (Mwajiri na Mwajiriwa),swala likifika mahakamani watashinda kesi na kupata sitahili zao?
Au ni kesi ya kuleta fujo na matusi?
Ndugu, hapa unavunja sheria ungewapa njia sahihi za kufanya.Chomeni moto huo mgahawa au wekeni hata sumu wateja
Mishahara yenu alikuwa anawapa kupitia benki au cash mkononi? Na vipi hamkuwa na vitambulisho vya kazi? Hivyo vitu ni sehemu ya ushahidi kuwa mlikuwa wafanyakazi wake ukiacha mkataba wa kazi.Hilo ndio wanalo jiamini na kujisifu kwamba HatutopAta haki zetu hata tuende wapi sababu hawakutupa Mkataba
Tumkaribishe humu Bwana Al shatry humu JF nae atupe upande wake wa stori.Mahamoud Omar Al-shatry
Acha mihemuko.Waarabu ni zaidi ya magaidi
Ni sisi ndio tunaoteswa na IQ zetu hafifu. Magufuli alijifanya kuwa haogopi Covid huku akijua fika "Mabeberu" wamemuwekea Betrii kwenye Moyo ili aendelee kuishi.Watu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,
Tatzo sis tuna njaa mno yaan tunafkia hatua tunafanya Kaz hata ukilipya chakula tu Ni sawa, angalia tu Hawa jamaa baada ya kutoka muda huo huo wakajaa wengne na kuendelea na Kaz bila mkataba!! Au nyiny ndo wasaliti ?Ni sisi ndio tunaoteswa na IQ zetu hafifu. Magufuli alijifanya kuwa haogopi Covid huku akijua fika "Mabeberu" wamemuwekea Betrii kwenye Moyo ili aendelee kuishi.
Unafanyaje kazi bila Mkataba halafu ukizulumiwa unaanza kulaumu Mabeberu.
Kuna Wizara ya Kazi, kuna Sheria, kwahiyo tatizo liko wapi? Tatizo liko kwenye IQ hafifu, haiwezekani Polisi ahongwe misosi ili akufunge wewe ambae umeajiriwa kwasababu unanjaa, hata hukuhitaji mkataba.Tatzo sis tuna njaa mno yaan tunafkia hatua tunafanya Kaz hata ukilipya chakula tu Ni sawa, angalia tu Hawa jamaa baada ya kutoka muda huo huo wakajaa wengne na kuendelea na Kaz bila mkataba!! Au nyiny ndo wasaliti ?
Baada ya Sisi kuwafungulia kesi CMA ndio wakaanza kutoa mikataba ya miezi 3 kwa wafanyakaz wapya, ila naskia wengine hugoma kusaini sababu naskia mikataba yenyewe haijaandikwa mshahara, wengine hawaelewi kimeandikwa nini sababu ya Lugha, na kwa sasa wameajiri HR ambae ndie anawapa kichwa.Tatzo sis tuna njaa mno yaan tunafkia hatua tunafanya Kaz hata ukilipya chakula tu Ni sawa, angalia tu Hawa jamaa baada ya kutoka muda huo huo wakajaa wengne na kuendelea na Kaz bila mkataba!! Au nyiny ndo wasaliti ?
Point iliyopo hapa Ni kwamba mwajir hataki aajir kwa mikataba ili iwe rahis kuwanyanyasa na kuwafukuza wafanyakaz wake kirahis pia paspo na gharama yeyote!! Swali Ni je wew ukikuta mwajili na namna hii yaan anakwambia sna mkataba ila Kaz ipo utakataa huku ukiwa na njaaa pengne had pa kulala haieleweki ??? Tatzo kubwa hapa sio IQ tatzo Ni njaaa!!!!,Ukiwa na njaa Ni rahis Sana kuonewaKuna Wizara ya Kazi, kuna Sheria, kwahiyo tatizo liko wapi? Tatizo liko kwenye IQ hafifu, haiwezekani Polisi ahongwe misosi ili akufunge wewe ambae umeajiriwa kwasababu unanjaa, hata hukuhitaji mkataba.
Tuzishutumu IQ zetu hafifu.
Mimi nafikiri ukiwa na IQ hafifu ndio rahisi kuonewa.Ukiwa na njaa Ni rahis Sana kuonewa
Kazi ya kunyimwa uhuru kama hivyo kama unaenda selo 🤨Tulikua tunakatazwa kutumia simu kazini na mara nyingi simu zetu zilikua zinakusanywa mpaka mda wa kuondoka ndio unarudishiwa simu yako. Hata Mabegi yetu tunaacha nje kwa mlinzi huruhusiwi kuingia nayo
Na hii comment, umecomment wapiSasa mbona hutupi nafasi ya kukomenti thread yote unajaza wewe
Mimi nikionewa na MTANZANIA mwenzangu hata akiwa mdogo kwangu huwa Sina maneno kwa kweli!Wana Uraia wa Tanzania ila asili yao ni Yemen, wanazungumza Kiarabu na Kiswahili, Walikua na Mgahawa Mwanza Rock City Mall, Wametapeli Mishahara watu kibao mpaka Suppliers huko Mwanza wakakimbilia Dar. Pia Huyo Bosi wakike Familia yake ndio wamiliki wa Star Light Hotel Iliopo Kisutu, ila wengine wanasema Waliuza hio Star Light Hotel ndio wakafungua huo Mgahawa Wa Masaki.
Bosi wa kike anaitwa: ARIFA AL-BEITY
Bosi wa Kiume anaitwa: MAHMOUD OMAR AL-SHATRY
Jamaaa kawafungulia kesi waachane nae vipi mkuu?Watu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,na wanatumia haya madhaifu kutunyanyasa Sana,maana sis watu weusi tuna njaa haraf pia tunasalitiana Sana,mtu mpaka anawatukana matus ya namna hyo huwez kujua nin kinampa jeur,weupe weng huku wanakuja Kama mabeberu,hivyo huwa Yana mitandao mirefu Sana. Nawahakikishia hata myapeleke wap hamuwez mkayashnda,yaan had viongoz wanayaogopa kabisa!!! Magufuli ndie alikuwa kiongoz pekee ambae alikuwa hawaogopi Hawa jamaa. Watanzania tunadanganywa kwa vitu vidogo ili tuweze kusaliti watanzania wenzetu!!!
Kwa ushaur wangu nawaomba muachane nao tu,yaan endeleen na shughur zenu tu,maana mtapoteza muda bure tu na mwishowe hamtaambulia kitu.
Bila Shaka unaandika huku umeshba mkuu!!Mimi nafikiri ukiwa na IQ hafifu ndio rahisi kuonewa.
Of course mimi huwa sibishani Yanga na Simba kutokea alfajiri mpaka usiku.Bila Shaka unaandika huku umeshba mkuu!!
Jamaaa kawafungulia kesi waachane nae vipi mkuu?
Hyo kesi nazan kawafungulia Kama sehem ya kuwatishia tu ili wasidai malipo yao,kwa hyo wakionesha kupotezea na yeye atapotezea pia, ila wakionesha kukomalia malipo yao kwa kuwa yeye Ana pesa na connection mpaka kwa viongoz nahis ndo atawatesa mnoJamaaa kawafungulia kesi waachane nae vipi mkuu?