Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Sasa dogo Semenya wa ukaldayo huko zako huko Ontario Canada 20 K KM far away hata akiweka Jina utamsaidiaje?
Ebu jitahidi kufaham maeneo Yako mapya ukatafute hata kazi za kuvua salmon.
Sasa dogo Semenya wa ukaldayo huko zako huko Ontario Canada 20 K KM far away hata akiweka Jina utamsaidiaje?
Ebu jitahidi kufaham maeneo Yako mapya ukatafute hata kazi za kuvua salmon.
Wenzetu wanadhulumiwa aisee hembu msiaidie jamaa apate haki yake ya mgahawahaniMkuu inakuwaje asee ushatoka ofisini nini?
WAGMI😂😂NAWASHAURI JIACHAGUENI VIONGOZ 3 NENDENI MKAFUNGUE KESI KITUO CHA POLISI, WAKUBALI AU WAKATAE KUFUNGUA KESI, NENDENI PIA KWA RPC MKAMPE TAARIFA YA SHIDA YENU...
Yakishindikana yote haya kama police wataamua kukaa upande wa hao ngurue wa kigeni... Chomeni moto huo mgahawa au wekeni hata sumu wateja waharishe tu bila kufa...
USIKUBALI kuonewa ktk ardhi ya nyumban kwako...
Ila Kuna black jobu za kumwaga. Mtaa wa Etobicoke na North York Kuna pisi Kali za Kisomali na AfricaWazungu kabla ya yote wanakupa mkataba wa kazi.
Hawa watu wamepiga hatua mbele
Kama ndo huo basi hakuna maajabu maana niliskia story nyingi Tu mwanzo ulivyofunguliwa.Ndio huohuo Mkuu nimeambatanisha na Picha za Mgahawa. Waliofanya Kazi Pale ndo Watakua Mashahidi Siku wakiwa Exposed kwenye Media. Wengi wamedhulumiwa hadi Wapishi wa Kibongo. Kutwa watu wanaacha kazi Pale
Ila Kuna black jobu za kumwaga. Mtaa wa Etobicoke na North York Kuna pisi Kali za Kisomali na Africa
I really love Canada EdmontonHapa nimetoka kukataa mkataba wa full time kazi nyingi nchi hizi balaaa
Part time ya 20hrs kwa wiki kwa mtu mweusi ni kumnyonya
Mashtaka yalisomwa na Karani, yule Askari MagereZa wakike aliambiwa na Mpelelezi alietupeleka Mahakamani kwamba kakosea Kuandika Kesi ni ya Matusi sio ya Kufanya Fujo ila yule Askari akakataaa alimwambia “Usinitafutie Matatizo Tafadhali, kama umekosea Kuandika Subiria Kesi yao iitwe halaf utamwambia Hakimu”, yule Mpelelez akaamua kuondoka so Mashtaka yalisomwa yaleyale tuliobambikiwa Osterbay ya Kufanya Fujo na Kufukuza Wateja Mgahawani.Askari magereza wa kike alisoma hati ya mashtaka mbele ya mheshimiwa hakimu....
Pole sana ndugu, Mungu yupo na anaona.Mashtaka yalisomwa na Karani, yule Askari MagereZa wakike aliambiwa na Mpelelezi alietupeleka Mahakamani kwamba kakosea Kuandika Kesi ni ya Matusi sio ya Kufanya Fujo ila yule Askari akakataaa alimwambia “Usinitafutie Matatizo Tafadhali, kama umekosea Kuandika Subiria Kesi yao iitwe halaf utamwambia Hakimu”, yule Mpelelez akaamua kuondoka so Mashtaka yalisomwa yaleyale tuliobambikiwa Osterbay ya Kufanya Fujo na Kufukuza Wateja Mgahawani.
Ndio Mkuu yule Mama katunyanyasa sana na Kutukana Matusi ya Nguoni halafu anajisifu kwamba Katufunga Jela na Hela zetu tumekosa. Natamani sana Wafanyakazi au Wateja wangemrekodi siku moja ili Jamii ione Ukatili wao.Le merahab kazi mnayo...hili la kunyanyasa wafanyakazi imekuwa tabia yenu ya mda mrefu sana hasa wewe mama na mdomo wako mchafu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mlio kuwa mnataka jina ndo hilo hapo ningependa kwakweliOkay Jina La Mgahawa ni “Le Maraheb Restaurant & More” upo Masaki/ Chole Road.
Nimeambatanisha Picha za Mgahawa hapo Chini👇🏽
Tukio Lilitokea January Mwishoni, Osterbay Police Askari wengi wanajua Mkasa wetu, pale Osterbay Police ukisema tu kesi ya wale Vijana 12 walionyimwa Mishahara yao na Bosi wao Mwarabu mwenye Mgahawa Masaki Chole Wanakumbuka!
Ndio Mkuu comments kwenye Google kuhusu Unyanyasaji wao kwa Wafanyakazi Zipo nyingi mno nitaziambatanisha kwenye Uzi. Pia Wafanyakazi wa Kibongo Wanakunywa Maji ya Bomba na Ugali Mbichi ila Wafanyakazi waarab na Wahindi wanakunywa Maji ya Chupa na Chakula cha Jikoni.Kama ndo huo basi hakuna maajabu maana niliskia story nyingi Tu mwanzo ulivyofunguliwa.
Watu walikuwa wanalalamika chakula kibovu na management mbovu. Wateja wanalalamika wafanyakazi wanafokewa na boss. Jamaa hawafai kabisa.
Nendeni Kwa mkuu WA Wilaya Ila tafteni mwanasheria Kwanza.
View attachment 2343519
Hapana hatukua na Mkataba. Ila Baada ya kumfungulia kesi CMA ndio akaanza kutoa mikataba feki ya miezi 3 kwa wafanyakazi wapya waliokuja baada yetu.Mlikua mna mkataba?
Pole sana aisee hapo ndii mlichemka tokea mwanzo.Hapana hatukua na Mkataba. Ila Baada ya kumfungulia kesi CMA ndio akaanza kutoa mikataba feki ya miezi 3 kwa wafanyakazi wapya waliokuja baada yetu.