DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa dogo Semenya wa ukaldayo huko zako huko Ontario Canada 20 K KM far away hata akiweka Jina utamsaidiaje?

Ebu jitahidi kufaham maeneo Yako mapya ukatafute hata kazi za kuvua salmon.

Sasa dogo Semenya wa ukaldayo huko zako huko Ontario Canada 20 K KM far away hata akiweka Jina utamsaidiaje?

Ebu jitahidi kufaham maeneo Yako mapya ukatafute hata kazi za kuvua salmon.

Wazungu kabla ya yote wanakupa mkataba wa kazi.

Hawa watu wamepiga hatua mbele
 
Mnaweza kumwandikia mkuu wa wilaya na kumweleza kuvunjwa kwa haki zenu na namna anavyoendesha mgahawa ili muweze kupewa haki zenu

Mnaweza kumwandikia waziri au naibu wa ajira namna huyo mtu anavyowatesa na kuwanyima haki zenu

Pia kama issue ipo CMA kazeni msiogope

Mwisho mnaweza kwenda kumfungulia kesi na yeye na matusi aliyowatukana kama mnaushahidi mfundisheni adabu
 
NAWASHAURI JIACHAGUENI VIONGOZ 3 NENDENI MKAFUNGUE KESI KITUO CHA POLISI, WAKUBALI AU WAKATAE KUFUNGUA KESI, NENDENI PIA KWA RPC MKAMPE TAARIFA YA SHIDA YENU...
Yakishindikana yote haya kama police wataamua kukaa upande wa hao ngurue wa kigeni... Chomeni moto huo mgahawa au wekeni hata sumu wateja waharishe tu bila kufa...
USIKUBALI kuonewa ktk ardhi ya nyumban kwako...
WAGMI😂😂
 
Ndio huohuo Mkuu nimeambatanisha na Picha za Mgahawa. Waliofanya Kazi Pale ndo Watakua Mashahidi Siku wakiwa Exposed kwenye Media. Wengi wamedhulumiwa hadi Wapishi wa Kibongo. Kutwa watu wanaacha kazi Pale
Kama ndo huo basi hakuna maajabu maana niliskia story nyingi Tu mwanzo ulivyofunguliwa.

Watu walikuwa wanalalamika chakula kibovu na management mbovu. Wateja wanalalamika wafanyakazi wanafokewa na boss. Jamaa hawafai kabisa.

Nendeni Kwa mkuu WA Wilaya Ila tafteni mwanasheria Kwanza.

Screenshot_2022-09-02-21-54-38-267_com.google.android.apps.maps.jpg
 
Askari magereza wa kike alisoma hati ya mashtaka mbele ya mheshimiwa hakimu....
Mashtaka yalisomwa na Karani, yule Askari MagereZa wakike aliambiwa na Mpelelezi alietupeleka Mahakamani kwamba kakosea Kuandika Kesi ni ya Matusi sio ya Kufanya Fujo ila yule Askari akakataaa alimwambia “Usinitafutie Matatizo Tafadhali, kama umekosea Kuandika Subiria Kesi yao iitwe halaf utamwambia Hakimu”, yule Mpelelez akaamua kuondoka so Mashtaka yalisomwa yaleyale tuliobambikiwa Osterbay ya Kufanya Fujo na Kufukuza Wateja Mgahawani.
 
Pole sana ndugu, Mungu yupo na anaona.
 
Le merahab kazi mnayo...hili la kunyanyasa wafanyakazi imekuwa tabia yenu ya mda mrefu sana hasa wewe mama na mdomo wako mchafu

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ndio Mkuu yule Mama katunyanyasa sana na Kutukana Matusi ya Nguoni halafu anajisifu kwamba Katufunga Jela na Hela zetu tumekosa. Natamani sana Wafanyakazi au Wateja wangemrekodi siku moja ili Jamii ione Ukatili wao.
 
Okay Jina La Mgahawa ni “Le Maraheb Restaurant & More” upo Masaki/ Chole Road.

Nimeambatanisha Picha za Mgahawa hapo Chini👇🏽

Tukio Lilitokea January Mwishoni, Osterbay Police Askari wengi wanajua Mkasa wetu, pale Osterbay Police ukisema tu kesi ya wale Vijana 12 walionyimwa Mishahara yao na Bosi wao Mwarabu mwenye Mgahawa Masaki Chole Wanakumbuka!
Mlio kuwa mnataka jina ndo hilo hapo ningependa kwakweli
 
Kama ndo huo basi hakuna maajabu maana niliskia story nyingi Tu mwanzo ulivyofunguliwa.

Watu walikuwa wanalalamika chakula kibovu na management mbovu. Wateja wanalalamika wafanyakazi wanafokewa na boss. Jamaa hawafai kabisa.

Nendeni Kwa mkuu WA Wilaya Ila tafteni mwanasheria Kwanza.

View attachment 2343519
Ndio Mkuu comments kwenye Google kuhusu Unyanyasaji wao kwa Wafanyakazi Zipo nyingi mno nitaziambatanisha kwenye Uzi. Pia Wafanyakazi wa Kibongo Wanakunywa Maji ya Bomba na Ugali Mbichi ila Wafanyakazi waarab na Wahindi wanakunywa Maji ya Chupa na Chakula cha Jikoni.
 
Back
Top Bottom