Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahaha hii imekaa ki-professional sana, inaitwa Juju technologyNingekuwa mm supervisor ningezama magomen nachukua jina naoga dawa ya mvuto namtia nachukua ushahidi. Kisha naanza kumblackmail kuwa atavunja ndoa
Kuwa mkristo doesn't mean unyanyaswe, Mimi nakufanyia kitu Hadi roho Yako ifurahi Tena huku nakuchekeaMm Ni mkristo lkn unyanyazaji hpn kwa kweli tia kiberit hyo restaurant akili iwakae saw
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We nawe unakurupuka kama unakunya kwenye ndoo ya unga! Au ni kibaraka wa hao Mayemen?balance shob* basi.Mwenzio anahitaji Msaada uko hapa na kitechno chako kujipu shtSasa jinai ipo wapi? Hamjielewi! Elimu elimu elimu
Naenda kuomba kazi hapo niwafundishe jinsi ya kuishi kwa heshima kwenye Nchi za watu.
Acha wajinga usije ukawa mjinga kama yeye hawa watu wamechanganyikiwa maana walidhani chuoni watafundishwa kilugha sasa walipo fika chuoni wakakuta ndivyo sivyoo.We nawe unakurupuka kama unakunya kwenye ndoo ya unga! Au ni kibaraka wa hao Mayemen?balance shob* basi.Mwenzio anahitaji Msaada uko hapa na kitechno chako kujipu sht
Hujakosea ila shukuru wewe una elimu ya kukutosha upate kazi nzuri na pia shukuru unaweza kudadavua jambo mapema na shukuru hupatiwi shida kijana .Sasa jinai ipo wapi? Hamjielewi! Elimu elimu elimu
Labda marekani!! ila sio tanzania hii ya mahakimu wala rushwaKama issue ishafika mahakamani basi subirini watenda haki watende haki kwa mujibu wa sheria.
Mahakama ndio sehemu sahihi ya kupata haki kwa mujibu wa sheria
✓Hebu sema ukweli Wewe Kama wewe unawadai sh.ngapi?Inavyoonekana huyo jamaaa mwarabu Ni ngumu kuwalipa chenuSiku ya Hukumu yule Bosi hakutokea ila sisi washtakiwa wote 12 Tulitokea, MUNGU ni Mwema Tulishinda Kesi na kuachiwa Huru!
Yule Bosi Kakata Rufaa July 23. Kesi Ikapangwa August 24 ila Kwa Bahati Mbaya hatukusikia kesi yetu Kuitwa hivo Imesogezwa mpaka September Mwishoni.
Kule CMA matumaini ya Kulipwa hela zetu hakuna wanatusumbua sana na wanaapa Hatutopata hata 100. Wanasema Kheri wahonge kuliko kutupa Sisi Haki zetu.
Na pia Wafanyakazi Wapya Pale Mgahawani baada ya Sisi kuondoka wanatishiwa kwamba kuna wenzenu hapa walijidai kwenda Kutufungulia kesi Mahakamani, Kesi imeisha na Hela zao wamekosa!! Na anasema kila Tukishinda Atakata Rufaa mpaka Tuchoke wenyewe Tusamehe hela zetu ila Yeye Hatulipi Ng’o!
Wakuu tunaomba Msaada wenu Hapa miongoni mwetu kuna watu wa Vitengo tofauti kulikua na Supervisor,Cashier,Waiter/Waitress, & Cleaners. Wengine Mpaka Leo Hatuna kazi, maisha Magumu tuna watoto, mmoja Single Mother ukiskia story yake machozi yatakutoka, huku tunasumbuliwa Mahakamani, Polisi Walitutenda Kutufungulia Jalada la Kesi wakati Ukweli wanaujua Hatuna Hatia, Watu wengi sana wamedhulumiwa na Hawa Bosi zetu kabla Yetu Sisi na wengine wamelipwa Mishahara Pungufu wakamuachia Mungu
Pwayungu kileji. Naam jamaa anacomment kooteSasa mbona hutupi nafasi ya kukomenti thread yote unajaza wewe
Kweli kabisa yaani.Kufanya kazi bila ya mkataba ni kazi sana! Hapa kuna mawili,ukipata gape lakumpiga Mwajiri piga hasa,maana hakuna ushaidi,pia ukifutwa kazi,huna pa kwenda