DOKEZO Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

DOKEZO Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi pia nimekua nikitibiwa hospitali hiyo kwa muda ila kwasasa huduma zimekua mbovu natoa ushuhuda wangu wa hivi karibuni
1.Takribani week mbili zimepita ilikua mida ya jioni umeme wa Tanesco ulikatika (na kwa kawaida hospitali huwa zinakua na automatic backup generator) lakini cha ajabu tulikaa giza kwa muda mrefu na huduma zilisimama (kuanzia saa 11 hv had saa 2 ) imagine hsptl ipo giza kwa muda wote?? Kisa etii generator haina mafuta, hivi kweli fikiria wagonjwa wa wodini walikua katika hali gani? Vipimo vyote vilisimama tukawa giza, je kama huko theatre kungekua na operesheni au labour mjamzito angekua anajifungua nini kingetokea???

2. Zaidi ya mara moja tumekua tukikosa huduma za x-ray sababu machine ni mbovu mara sijui umeme umefanyaje, hili ni tatizo sugu na mara kwa mara lipo lakin uongozi wa hospitali hawalioni

3.pia wafantakazi morali ipi chini sababu hsptl imekua na uongozi mbovu yaan viongoz wao wanawamis treat na kufanya kile wanachojiskia

4.pia wanakiuka baadhi hata sheria za kazi
Mfano wanawafanyisha watu kazi hadi extra time na hawalipi overtime , hawa zikiwa ni public hologram sheria inasema mfanyakazi alipwe overtime kwa calculation ya kila saa na inatakiwa iwe doubled kwa PH ,but pale wafanyakazi etii baadhi wanalipwa 15k na Dr 30k kwa kufanya kazi siku nzima za public holidays ,how comes ???????
(Hii nimeskia kwa wafanyakazi wenyewe wakilalamika mara kidhaa kila nikienda kutubiwa hapo ,baadhi nimekua nao karibu sababu natibiwa hapo tokea kitambo )
 
Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine
 
Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine
Mara ya mwisho umetibiwa lini hapo ndugu. Kwanini usiwe humble na ukatafuta kulijua jambo. Kwani ukikaa kimya utapita upungufu wa damu ndugu. Kukaa kimya ni hekima kubwa sana kama hulijui jambo. Dont jump to conclusion mtani.... maisha hayako hivyo.
 
Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine

Usikurupukie mambo usiyoyajua, mimi na familia yangu tumekua tukitibiwa hapo kwa muda sababu kampui yetu ya Ticts tuna mkataba na hospitali. Pia jadili point kuhusu nilichokisema je uongo au kweli? Lengo ni ili huduma ziboreshwe.
 
Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine
Nina wasiwasi na wewe yawezekana ni mmoja wa Management,
Kiuhalisia hospital ulikuwa vizuri sana na wahudumu walikuwa vyema sana na wanajua wajibu wao na wakarimu sana. Ila baada ya kuanza utawala huu wa 5 iliyopelekea kuanza kupunguza Wafanyakazi na hata kusitisha mikataba tena kwa lugha isiyostaha kutoka management wahudumu wamepoteza morali ya kazi, ukitaka kudhihirisha hilo nenda pale wasome nyuso zao, hawana uchangamfu waliokuwa nao
 
Nimegurahidhwa na ulivyoandika kwa utulivu. Last time nilifika pale kumpeleka bi dada kuanza clinic 2018 nilisikitishwa na maness kukaaa wanachungulia chungulia na kama vile wana wasiwasi. Kumbe hali ndo hiyo.
 
Hapa naona kama majungu kazini,Mimi na familia yangu ni Mdau mkubwa sana kwenye hiyo Hospital huduma zake ni nzuri sana na hospital inafanywa maboresho kuanzia majengo hadi huduma.
Na wewe thibitisha kama wewe si mkurugenzi unayelalamikiwa. Mtoa hoja ameomba uchunguzi ufanyike hajasema viongozi wafunguliwe mashtaka au wakamatwe, ni vyema tukasubiri wahusika wafanye uchunguzi, matokeo ya uchunguzi ndio yataonyesha kama haya ni majungu au ni ukweli ili hatua stahiki zichukuliwe.

Tuwe watulivu, sasa hivi wizara ya afya iko mikononi mwa Dr. Mbobezi.
 
Umejitahidi kuandika bwana Daktari. Kilio chenu tutakifanyia kazi.
Huyu wala siyo daktari. Wale "vipanga" wa PCB niliokuwa nawaona shule miaka ile wakipigania nafasi za kwenda Muhimbili hawawezi kuwa na uandishi duni kiasi hiki, unless mtu aniambie siku hizi madaktari wanasomea VETA. Huyu ni mtu mwenye chuki binafsi na majungu tu. Eti 'dharula', mara 'hekali nne', vituko tu!
 
We ndo DG eeh? Naona kama umeanza kuteseka.
Mleta mada kashauri Rais aunde tume ichunguze sasa kama sio kweli si itajulikana? Wasiwasi wako nini mpaka uite majungu?

Kuna mitanzania flani iko hovyo sana haitaki ukweli usemwe ili taifa lipone, sasa omba hili lisifike kwa JPM likifika ujue ugali wako uko mashakani Rais hacheki na kima.
 
Acha majungu dogo. Husipofuata standard Treatment Guideline NHIF hawawezi kukulipa.

Halafu siyo kweli kwamba STG ina matibabu yote hiyo ni guideline ambayo baadhi ya maeneo ipo very shallow. Wewe utakuwa ni miongoni wa madaktari wazembe, mpenda majungu kwenye hiyo hospital.
Sio majungu, mimi binafsi nilimpeleka mgonjwa wangu pale, huduma ni mbovu sana pako local, watoa huduma hawana morali ya kazi, majengo machakavu.

Kwa umri wake haulingani na huduma zinazotolewa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
We ndo DG eeh? Naona kama umeanza kuteseka.
Mleta mada kashauri Rais aunde tume ichunguze sasa kama sio kweli siitajulikana? Wasiwasi wako nini mpaka uite majungu?

Kuna mitanzania flani iko hovyo sana haitaki ukweli usemwe ili taifa lipone, sasa omba hili lisifike kwa JPM likifika ujue ugali wako uko mashakani Rais hacheki na kima.
DG wapi? Watu wafanye kazi waache majungu ya kitoto
 
DG wapi? Watu wafanye kazi waache majungu ya kitoto
Wewe kama ni mnufaika wa yanayoendelea ni bora ukakaa kimya maana unavyozidi kuongea tena bila facts unazidi kumuharibia bosi wako alyekutuma. Acha walioombwa waingilie kati wathibitishe.... maji na mafuta vutajitenga. Huna haja ya kupaniki.
 
Huyu wala siyo daktari. Wale "vipanga" wa PCB niliokuwa nawaona shule miaka ile wakipigania nafasi za kwenda Muhimbili hawawezi kuwa na uandishi duni kiasi hiki, unless mtu aniambie siku hizi madaktari wanasomea VETA. Huyu ni mtu mwenye chuki binafsi na majungu tu. Eti 'dharula', mara 'hekali nne', vituko tu!
Mbona umejibu kwa mihemuko sana...vipi ndugu?? Kwani umelipwa shingapi ?? Hakuna ovu litakalo dumu milele. Maisha ni natural scince. Tulia usipate heat sana beyond ur heating capacity...uta melt.
 
wewe kama ni mnufaika wa yanayoendelea ni bora ukakaa kimya maana unavyozidi kuongea tena bila facts unazidi kumuharibia bossi wako alyekutuma. Acha walioombwa waingilie kati wathibitishe....maji na mafuta vutajitenga. huna haja ya kupaniki.
Huna hoja ya msingi. Channels za kupeleka malalamiko kama haya zipo, tena rasmi kabisa na kisheria, kwanini usifuate hizo unakuja kujificha nyuma ya fake ID hapa? Ungekuwa umeshafuata channels hizo ikashindikana ningekuelewa. Kwa sasa unachofanya ni majungu tu. Na tabia mojawapo ya majungu na umbea ni kwa msemaji kupenda kujificha na kuongelea vichakani na mivunguni.
 
Tumemsikia mdau bwashee2020 , tunakuja kuchunguza hii hospitali. Ondoa shaka bwana DG, lazima nyeupe itakuwa nyeupe na si vinginevyo.

Pole sana mkuu kama umeumia na huu ujumbe
Wewe na huyo mwenzio ni walewale wapika majungu. Mnashindwa nini kupeleka malalamiko rasmi kwa njia rasmi na badala yake mnakuja kujificha hapa kwa fake ID?
 
Back
Top Bottom