king gwangaeto
Member
- Aug 15, 2016
- 47
- 46
Mimi pia nimekua nikitibiwa hospitali hiyo kwa muda ila kwasasa huduma zimekua mbovu natoa ushuhuda wangu wa hivi karibuni
1.Takribani week mbili zimepita ilikua mida ya jioni umeme wa Tanesco ulikatika (na kwa kawaida hospitali huwa zinakua na automatic backup generator) lakini cha ajabu tulikaa giza kwa muda mrefu na huduma zilisimama (kuanzia saa 11 hv had saa 2 ) imagine hsptl ipo giza kwa muda wote?? Kisa etii generator haina mafuta, hivi kweli fikiria wagonjwa wa wodini walikua katika hali gani? Vipimo vyote vilisimama tukawa giza, je kama huko theatre kungekua na operesheni au labour mjamzito angekua anajifungua nini kingetokea???
2. Zaidi ya mara moja tumekua tukikosa huduma za x-ray sababu machine ni mbovu mara sijui umeme umefanyaje, hili ni tatizo sugu na mara kwa mara lipo lakin uongozi wa hospitali hawalioni
3.pia wafantakazi morali ipi chini sababu hsptl imekua na uongozi mbovu yaan viongoz wao wanawamis treat na kufanya kile wanachojiskia
4.pia wanakiuka baadhi hata sheria za kazi
Mfano wanawafanyisha watu kazi hadi extra time na hawalipi overtime , hawa zikiwa ni public hologram sheria inasema mfanyakazi alipwe overtime kwa calculation ya kila saa na inatakiwa iwe doubled kwa PH ,but pale wafanyakazi etii baadhi wanalipwa 15k na Dr 30k kwa kufanya kazi siku nzima za public holidays ,how comes ???????
(Hii nimeskia kwa wafanyakazi wenyewe wakilalamika mara kidhaa kila nikienda kutubiwa hapo ,baadhi nimekua nao karibu sababu natibiwa hapo tokea kitambo )