ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga