WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
Unataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
Hapa mbona Professor Mruma yuko sawa, tatizo ni Wanasheria wetu hawakumshauro vizuri pointi za kisheria kwa makusudi, baadaye nyaraka wakaziiba wakawapa Wanasheria wa mabeberu. Hapa angekuwa Wakili Nassoro Katuga angeweka objection au angefanya rejoinder. Anaulizwa is that what your lawyers advised you, Mawakili wake wangeingilia kati