Tunaomba wakili Katuga, jembe la Samia, apewe kesi zote za kimataifa, hatutalipa fidia tena

Tunaomba wakili Katuga, jembe la Samia, apewe kesi zote za kimataifa, hatutalipa fidia tena

Kwa tafasiri halali mhaini ni mtu muasi mwenye vikundi vya kigaidi vyenye kumiliki Silaha hatari kwa Usalama wa Nchi, Lakini Mhaini kwa Tafasiri za ibilisi wa ccm wao mhaini ni yule Mtu mkosoaji wa Madudu ufisadi utekaji mauaji yanayofanywa na ilibilisi wa ccm, hawataki kusikia mtu anawakosoa , ukiwakosoa tayari unakuwa mhaini
Mnajitungia na kujifariji

Rudi usome sheria zote zinazohusu treason, usome maanake halafu uje ulinganishe na maana zako zote mbili, then ujitafakari kuwa wewe ni nani na upo kundi gani kati ya wanaojitambua au wasiojitambua/mihemko
 
Back
Top Bottom