The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Kwa tafsiri ya haraka.Ngoja kwanza amalize kumchakaza huyo muhaini
Mhaini ni mtu wa namna gani?
Kwa tafsiri ya haraka.Ngoja kwanza amalize kumchakaza huyo muhaini
Kwa tafasiri halali mhaini ni mtu muasi mwenye vikundi vya kigaidi vyenye kumiliki Silaha hatari kwa Usalama wa Nchi, Lakini Mhaini kwa Tafasiri za ibilisi wa ccm wao mhaini ni yule Mtu mkosoaji wa Madudu ufisadi utekaji mauaji yanayofanywa na ilibilisi wa ccm, hawataki kusikia mtu anawakosoa , ukiwakosoa tayari unakuwa mhainiKwa tafsiri ya haraka.
Mhaini ni mtu wa namna gani?
Katuga ni wakili wa hovyo sanaKiingereza chenyewe anajua sasa!🤣🤣🤣🤣
Uzuri wa wakili unaonekana pale tu anaposhindana kwa hoja kwenye Mahakama zilizo huru na za haki.
Hakuna ubora wowote kwa Wakili Katuga maana kwa namna Mahakama zetu zilivyo compromised za kugeuka kuwa za hovyo, hata Bambo anaweza akavaa suti na kusimama kwa niaba ya Serikali kwenye hizi Mahakama zetu na hoja zake zikabebwa.
Kipimo cha ubora wa Mawakili wetu kitazame kwenye Mahakama zilizo huru na za haki kweli kama za wenzetu za kimataifa.
Asante na yeye akiwemoofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Huyo Katuga hana anachojua, sijui amesoma chuo gani? Hakimu huyo Kiswaga pia haelewi anachoelewa au anafuata maagizo ya SamiaSamia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Mwacheni mwanangu 😄Asante na yeye akiwemo
Ooh mashahidi wa Siri wakina Yuda hawatakiwi kuonekana ooh kwa hio ndio hivyo hakimu kila akitoka kwenye kesi ana million 50 kibindoni, hakimu hii ni moja ya kesi iliyomlipa sanaUnadhani huko duniani kesi zinakuwa gizani
😒😒😒😪😪🫣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha nichekee sijui hata nacheka niniSamia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Ni Ya mazeri wako ujue!Ilete niikaze
Qmmk!Ngoja kwanza amalize kumchakaza huyo muhaini
Hujawahi kumiliki akili we mchaga bwegeSamia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Kumbe we ni funza?Katuga si wakili yule ni Bush Loyer yaani wakili kanjanja mwenye njaa na chuki binafsi kwa Lisu ni wakili wa hovyo sana asiyejua kuwa anaishushia Hadhi hiyo Mahakama ya ccm na sasa Dunia nzima inajua hawatumii sheria za Nchi kuendesha kesi bali wanatumia Sheria za mchongo feki toka kwa ibilisi wa ccm, katuga kajitoa fahamu zote hajua kuna kesho yake na kuna maisha baada ya kesi za kuvumba