ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
duh k u mmaNgoja kwanza amalize kumchakaza huyo muhaini
Ilete niikazeduh k u mma
Prof. Mruma alichakazwa vibaya mnoUnataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
wangesema tukimaliza hapa ukapakwe wese .....angeitikia correct Kila kitu correctUnataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
Katuga ni Bush Loyer ni wakili wa hovyo sana hafanyi kazi kwa mujibu wa sheria katiba bali anafanya kazi kwa chuki zake binafsi na Amri haramu za kishetani toka kwa ibilisi wa ccm, hana hadhi ya kesi za kimataifa kwani hana weledi wa kisheriaSamia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Hana pa kumchakaza mpaka alete mashahidi watatu mahakamani akina Samia, mpango na majaliwa waje kutoa ushahidi kimyume na hapo kesi ya mchongo itakwama ingawa ana mashahidi feki wa kuficha sura ambao tayari wamejulikana ni akina Yericko Nyerere, Kileo, Kigaila, mrema, Salum mwalimu na baadhi ya PolisiccmNgoja kwanza amalize kumchakaza huyo muhaini
Wakiliccm , Hakimuccm, kesi ipo mahakamaccm mashahidiccm na waficha sura wanatoka chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm, kuna haki hapo? Tokea lini chombo binafsi chai ibilisi wa ccm kitoe Haki kwa Chadema?Hao kesi za kimataifa hawawezi kiingereza tu hawajui
Katuga si wakili yule ni Bush Loyer yaani wakili kanjanja mwenye njaa na chuki binafsi kwa Lisu ni wakili wa hovyo sana asiyejua kuwa anaishushia Hadhi hiyo Mahakama ya ccm na sasa Dunia nzima inajua hawatumii sheria za Nchi kuendesha kesi bali wanatumia Sheria za mchongo feki toka kwa ibilisi wa ccm, katuga kajitoa fahamu zote hajua kuna kesho yake na kuna maisha baada ya kesi za kuvumbaUnataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Katuga anajitafutia Laana toka kwa wapenda haki baada ya kujitoa fahamu zote na kufanya vitu vya hovyo kuwafurahisha Mbowe adui nambo moja wa Lisu na hao ibilisi wa ccm, katuga hataki kujua kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa Ubaya ni Aibu kubwa
Katuga si wakili ni Bush Loyer kada wa ibilisi wa ccm yupo kwenye mahakama ya ccm akiwa na hakimu wa ccm na mashahidi toka ccm na chauma ubwabwa, hakuna haki hapo zaidi ya mungu kumlinda Lisu hadi mashahidi wa kuficha Sura akina kileo wa Tindikali na Yericko Nyerere wamejulikana na wenzao wengi wataendelea kuumbuliwa mmoja baada ya mwingineAisee..๐น๐ฟ๐น๐ฟโ๐ง โ๐พ
wangesema tukimaliza hapa ukapakwe wese .....angeitikia correct Kila kitu correct