WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
Hapa mbona Professor Mruma yuko sawa, tatizo ni Wanasheria wetu hawakumshauro vizuri pointi za kisheria kwa makusudi, baadaye nyaraka wakaziiba wakawapa Wanasheria wa mabeberu. Hapa angekuwa Wakili Nassoro Katuga angeweka objection au angefanya rejoinder. Anaulizwa is that what your lawyers advised you, Mawakili wake wangeingilia katiUnataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
Lemma naye atakuwa shahidiHana pa kumchakaza mpaka alete mashahidi watatu mahakamani akina Samia, mpango na majaliwa waje kutoa ushahidi kimyume na hapo kesi ya mchongo itakwama ingawa ana mashahidi feki wa kuficha sura ambao tayari wamejulikana ni akina Yericko Nyerere, Kileo, Kigaila, mrema, Salum mwalimu na baadhi ya Polisiccm
Hakuna wakili pale, ni kilaza kama wengine waliojaa swrikalini,kinachomsaidia ni hakimu, polisi, magereza wote wanepewa maelekezo kutoka juu kumsadia, kwenye mahakama huru, lisu mmoja anajambisha mishuzi idara nzima ya sheria ya samia.Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Subirini sindano iwaingieSamia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Sasa zuzu km wewe utaelewa niniHakuna wakili pale, ni kilaza kama wengine waliojaa swrikalini,kinachomsaidia ni hakimu, polisi, magereza wote wanepewa maelekezo kutoka juu kumsadia, kwenye mahakama huru, lisu mmoja anajambisha mishuzi idara nzima ya sheria ya samia.
Ukiangalia figisu, Mara waingize makenge polisi yamevaa kiraia ili kuzuia wana chadema wasiingie, Mara wazuie kesi isiende live, yote hii ni kuepuka aibu wanayopata kila siku.
Vilaza aliokuwa amawasifu MagufuliUnataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
Kma jembe la samia mama yake anautaka ubunge mpwapwa wampe bule kma mtoto wake kafanya vzri kwenye kesiNgoja kwanza amalize kumchakaza huyo muhaini
Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
MahakamaccmHakuna wakili pale, ni kilaza kama wengine waliojaa swrikalini,kinachomsaidia ni hakimu, polisi, magereza wote wanepewa maelekezo ma juu kumsadia, kwenye mahakama huru, lisu mmoja anajambisha mishuzi idara nzima ya sheria ya samia.
Ukiangalia figisu, Mara waingize makenge polisi yamevaa kiraia ili kuzuia wana chadema wasiingie, Mara wazuie kesi isiende live, yote hii ni kuepuka aibu wanayopata kila siku.
Wakili wa ccm ni kanjanja mtaani huitwa Bush Loyer hana weledi wa kisheria anaendesha kesi kienyeji kwa Amri haramu za kishetani toka kwa ibilisi wa ccm na pia yeye binafsi ana chuki kubwa na uwezo wa Lisu kisheria kwa kifupi Katuga ni mtu wa hovyo sanaHivi nyinyi mnajua majembe kweli!? Yaani huyu jamaa kuzungusha na kuchelewesha kesi tayari kunamfanya awe jembe?
Kwanza anavyoongea tu utamuona kuwa ngeli haipandi vizuri. Pia kuna chance kubwa sana kuna watu nje ya mahakama wanawafeed information throughout including hakimu.
Binafsi nikiona hii huwa nakumbuka kurudi kupitia upya madesaUnataka aende kuongea yale mambo ya "mother dead, father dead now job? " Ataulizwa kama alivyo ulizwa Prof. Mruma kwenye moja ya kesi huko duniani, hivi ndivyo munavuowafundisha watoto wenu huko chuo kikuu? na yeye akasena ndio... kesi ikaisha hapo hapo na Tanzania kulipishwa fidia.. Msikilize hapa anavyo jichanganya:
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=-gvuRUaLn_7ewHbd
Hee kituko, katuga!Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na matokeo yake yanapaswa kuwa.
Huyu huyu Katuga katoka katika ofisi ya SG ambayo imeshindwa kesi zote za nje na kusababishia serikali zaidi ya trilioni 3 za fidia za kufeli Kwa kesi.
Sasa huyu Katuga kama kweli ni champion basi atuambie ni kesi ngapi za nje ameshinda, na je kwanini Samia asimtumie Ili tuepuke kulipa fine kubwa. Sijui Kwa Katuga lakini ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali wanapenda sana kutumia pombe kali.
Pia kesi ya lissu ni ya maelekezO hivyo si sahii kuitumia kupima uwezo wa katuga
Ya mazaa ako!Ilete niikaze