Tunaomba wakili Katuga, jembe la Samia, apewe kesi zote za kimataifa, hatutalipa fidia tena

Kiingereza chenyewe anajua sasa!🤣🤣🤣🤣
 
Kwa tafsiri ya haraka.
Mhaini ni mtu wa namna gani?
Kwa tafasiri halali mhaini ni mtu muasi mwenye vikundi vya kigaidi vyenye kumiliki Silaha hatari kwa Usalama wa Nchi, Lakini Mhaini kwa Tafasiri za ibilisi wa ccm wao mhaini ni yule Mtu mkosoaji wa Madudu ufisadi utekaji mauaji yanayofanywa na ilibilisi wa ccm, hawataki kusikia mtu anawakosoa , ukiwakosoa tayari unakuwa mhaini
 

Huyo Katuga na elimu yake ya kuungaunga bado kuna watu humu wanamuona ana uwezo mkubwa. Hii dunia haitakuja kuishiwa maajabu.
 


Unadhani huko duniani kesi zinakuwa gizani
 
Huyo Katuga hana anachojua, sijui amesoma chuo gani? Hakimu huyo Kiswaga pia haelewi anachoelewa au anafuata maagizo ya Samia
 
Unadhani huko duniani kesi zinakuwa gizani
Ooh mashahidi wa Siri wakina Yuda hawatakiwi kuonekana ooh kwa hio ndio hivyo hakimu kila akitoka kwenye kesi ana million 50 kibindoni, hakimu hii ni moja ya kesi iliyomlipa sana
 
😒😒😒😪😪🫣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha nichekee sijui hata nacheka nini

Sema huyo Katuga ni wa afisa kipenyoo huyo nakupa taarifaa.
 
Huyu huyu ambaye alisema Mahakamani kwamba Rais hawezi itwe Mahakamani kutoa Ushahidi??
 
Kwenye kesi za kimataifa mahakimu hawambebi mtu.
Mahakimu wa huko wanatosheka na mishahara yao. You know what I mean?
 
Your browser is not able to display this video.

Unataka nchi ipate aibu nyingine kama hii?
 
Wapo wengi tu sema hawapendi kujikweza
 
Hujawahi kumiliki akili we mchaga bwege
 
Kumbe we ni funza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…