Tunaomiliki usafiri na kukerwa na ambao tunawabeba lakini hawabebeki

Umesema fact kak , kuna watu walitoa lift lakn mwisho wa siku wamelipa gharama ya msaada

Ili kikubwa nikijiongez TUU
 
hapo jamaa umemcalculatia gharama za usafiri ambazo angetumia kwa mwezi mzima kama hatumii usafir wa bure ukaona anasave kiasi gani kwa mwezi afu ukajiangalia na wewe kwa mwezi unatumia cost kiasi gani kwenye usafiri wako hapo ndoroho ya kwanini ilipoibuka.......
 
Akaona kumbe jamaa anafaidi😂😂
 
Kweli hii pikpik ninayo miaka 8 sasa najua lazm ninunue ingine
 
Sure [emoji817] ila ni bora MTU akawa anaeleweka kuw na msaidie mshikaj kwa [emoji817]% kutokan na A B C

Kumbuka ata mimi pia nawez kuwa naptia mengi pia , mimi kimsingi ndio na Majukum makubw kulko yeye labda mengine ya ndan sana
Ukiamua kumsaidia mtu fanya kwa moyo, Msahada ukija na malalamiko si msahada.
 
Ilitakiwa akupe nauli kila siku ya kwenda na kurudi au hata nusu yake kama kwenda kazin ni 5000 akupe 4000 au yote iweje atake lift kila siku bure eboo hakuna vya bure bana kama vipi usimpe lift
Kwend kurud n sio chin ya 10,000/- ni mwendo wa pkpk
.
 
Brother, em labda niwe upande wako, ila pia nikushauri baadae.
Yea,
Ni kweli, lift ni mara moja kama sio mara moja moja, kama ni kila siku inabidi ajiongeze. Kuna vitu ambavyo hata ukipita kule Quora unaona wanaandika, ikitokea mtu amekununulia Leo wewe kitu, wakati mwingine ikiwezekana nunua.
Labda cha kufanya kaa nae, funguka kama ni muungwana ataelewa, kama sio hafai tena hata kubebwa maana atakuwa ni mtu ambae hakumbuki fadhila.
Kubeba mtu kwenye pikipiki anaweza haribu zile foot rest, alipokalia panaharibika pole pole, ila pia kifizikia mzigo (load) imeongezeka hivyo nguvu (energy) kubwa zaidi itahitajika katika kutembeza chombo na hizo 60-90 kg zake. Hata akitupa 2k baada ya miezi mi3 ingetosha kabisa kurekebisha chombo yetu. Aache uchawa, achangie.
 
Blessed
 
Mkuu kweli umesoma vzr na matumiz ya pkpk sio chin ya miaka 7 na nilikuw naend popote pale na pkpk
Tatizo lako unamiliki vitu usivyo na uwezo navyo... Kumpa mtu lift ndio unakuja kumsema huku... Amekulazimisha uwe lazima unambeba..?
 
mwamba anaserereka na usafiri wa mwenzie kisela sana afu ukute anachosave nae anahonga kwa videmu vyake tena anawavimbia kwamba we dereva wake unamleta na kumrudisha kwake kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji753] binadamu sio poA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…