Fadhilim
JF-Expert Member
- Feb 3, 2013
- 362
- 303
Yeye anaongea hivyo ili liwe somo kwa wenye mamlaka kuwa uwajibikaji ndo msingi wa kazi.sasa anavoongea ivo mwisho wa yote atapata nini,au akiongea ivo ndo anajiskia amani,just stupideness
Hizo kauli kuna wengine zinawachoma. Kwa maana wanaona kabisa hawajatenda haki kwa Tundu Lissu.