MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Mkwara mbuziTundu Lisu alivuna alichopanda na ataendelela kuvuna anachopanda sasa!!
Yuko "salama" mikononi mwa mabeberu kama jinsi mbuzi anavyojiona yuko salama kwenye banda la mfugaji. Siku ya sikukuu ikifika na mfugaji anahitaji kitoweo ndipo mbuzi atakapogundua kuwa kumbe aliingia mkenge!!
Hata Osama bin Laden kuna wakati alikuwa anajiona salama sana katika mikono ya mabeberu!! Kilichotokea wote mnakifahamu!! Ni suala la muda tu!!