Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mbona Billicanas ilivunjwa lakini Mbowe haongei ujinga ujinga kama huyo Tundu Lisu?
Kwa akili zenu . Nikuwa ukiumizwa na system urudi ushukuru na kupiga magoti ?! . Huo ni unyama zaidi ya mkoloni mjerumaniMbona tundu alisema kipindi cha kampeni kwamba amewasamehe wote watesi wake ila nikiona twit zake kule Twitter yule bwana bado anakinyongo.