Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

Mahaba yamekuzidi wewe, dunia nzima inajua Tundu alisimama na Acacia.
Lete clip inayothibitisha hayo. Tukuone wewe usiye na mahaba. Mabwana zako na huyo aliyekufa kwa korona hawanauthibitisho WA hayo bali ni ramli tu akawambukiza na nyinyi.
 
nilikuwa naangalia video ya dereva wa tundu lissu akielezea tukio zima hahaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kiko wapi magufuli?
 
Kinyongo huleta chuki... na chuki huleta hasira... na hasira huleta kisasi... na kisasi huleta dhambi... na dhambi hukupeleka jahanamu
Every action is equal to the opposite reaction
 
Wasalaam wapendwa!

Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.

Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti na nani?

Hebu vaa viatu vyake chukulia kua wewe ni tundu Lissu,
1. Upigwe risasi 16 saa 7 mchana kweupe na mpaka leo hii wasijulikane waliotenda tukio hilo
2. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu unyimwe gharama za matibabu yako kama mbunge bila sababu yeyote ya msingi
3. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu mpaka leo unyimwe nafsi yako ya ubunge na stahiki ziingine
4. Chukulia hii wewe ni Tundu Lissu unaporwa ubunge wako hadharani bila sababu ya msingi
6. Chukulia wewe ndio yeye unapata matatizo watu wanazuiwa hata kukusanyika kukuombea kwa Mola upone
6. Chukulia wewe ni Tundu Lissu unaarifiwa na vyanzo vya ndani ya mfumo kama asemavyo yeye kua ilitolewa amri kua shughuli ilitakiwa imalizike mapema kisha apumzishwe haraka kijijini kwao mapema bila kuagwa, hivi kwa maneno haya upendo utoke wapi?

Tunaomwita Lissu mtumwa wa Mabeberu hebu mfikirieni na yeye kwa vyote aliyofikia nayo. Mbona hatukumwita msaliti kabla? Hivi yeye si binadamu na asinune wala kuchukua ana moyo wa chuma?
Kwa Mwana siasa Mkomavu alivyofanya Lissu sio sawa, huwezi kupigana na maiti na ukashinda, kwa kuwa binadamu akisha kuwa maiti hana nafasi ya kujigeuza akiwa mpinzani wako tena.

Kuna voting block/ political constituency ambayo ina achwa yatima ambayo kila mwanasiasa mzuri atajitahidi kuhakikisha itakuwa upande wake.

Western Tanzania na watu wenye asilia ya kutokea huko waliotapakaa Tanzania ambayo kwa sensa yetu hapa ni kama 64% ya Watanzania. Ikijumuisha mikoa ya Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Tabora Geita, Rukwa, Katavi, Songea na Kagera.
Huu mtambo wa kura lazima urithiwe.

Ni vizuri kujiweka karibu não kisiasa ili watayarishwe kwa kuwaomba kura. Operesheni za kisiasa za Chadema karibu zote ikiwemo Operesheni Sangara zili asisiwa na kutekelezwa kanda hii kwa mafanikio makubwa.
 
Ukisikia ule msemo unaosems "Mkuki kws Nguruwe" ndiyo unaingia hapa sasa. Lissu ni mwanafamu. Hivyo na yeye ana hisia. Sidhani kama anafurahia kuishi uhamishoni. Ila kwa sababu za kisiasa na pia usalama wake, ilimlazimu kufanya hivyo.

Mwacheni ateme nyongo yote, ili arudi kuwa binadamu wa kawaida kama sisi.
Nini kinamfanya aishi uhamishoni mbona uchaguzi alirudi kugombea kama anatishiwa maisha acheni unafiki na propaganda za kizushi
 
Nini kinamfanya aishi uhamishoni mbona uchaguzi alirudi kugombea kama anatishiwa maisha acheni unafiki na propaganda za kizushi
Bahati mbaya hujapitia madhira aliyopitia Tundu Lissu. Hivyo muache afanye vile anavyo ona inafaa. Mpaka muda huu, wahusika walio mshambulia wameshapatikana?

Je, unadhani kama tukio lile lilimhusu Mbunge wa ccm, mpaka leo hao maharamia wangekuwa hawajatiwa tu mbaroni? Kamateni basi wahusika wote wa lile shambulio ili na yeye aoate amani ya kurudi katika nchi ya wazazi wake, badala ya kuushi ughaibuni.
 
Wasalaam wapendwa!

Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.

Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti na nani?

Hebu vaa viatu vyake chukulia kua wewe ni tundu Lissu,
1. Upigwe risasi 16 saa 7 mchana kweupe na mpaka leo hii wasijulikane waliotenda tukio hilo
2. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu unyimwe gharama za matibabu yako kama mbunge bila sababu yeyote ya msingi
3. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu mpaka leo unyimwe nafsi yako ya ubunge na stahiki ziingine
4. Chukulia hii wewe ni Tundu Lissu unaporwa ubunge wako hadharani bila sababu ya msingi
6. Chukulia wewe ndio yeye unapata matatizo watu wanazuiwa hata kukusanyika kukuombea kwa Mola upone
6. Chukulia wewe ni Tundu Lissu unaarifiwa na vyanzo vya ndani ya mfumo kama asemavyo yeye kua ilitolewa amri kua shughuli ilitakiwa imalizike mapema kisha apumzishwe haraka kijijini kwao mapema bila kuagwa, hivi kwa maneno haya upendo utoke wapi?

Tunaomwita Lissu mtumwa wa Mabeberu hebu mfikirieni na yeye kwa vyote aliyofikia nayo. Mbona hatukumwita msaliti kabla? Hivi yeye si binadamu na asinune wala kuchukua ana moyo wa chuma?
Tatizo umekuwa ndumilakuwiliwi!! huna msimamo!! hueleweki uko upande gani!! hongera kwa kutumia akili yako vizuri!
 
mwambieni lisu YEYE SIO WA KWANZA KUPIGWA RISASI.
Kila mtu anajua alichofanyiwa ni kitu kibaya.ILA sasa kuongea kwake kunasababisha tumuone alistahili kupigwa hizo risasi.
MWANAUME UNATAKIWA UWE NA KIFUA
 
Mnapigia madini kuyapeleka wapi? Yeye au nyie ndiye aliyewapa mabeberu hayo madini?
Labda tuvae viatu vya usaliti kwa nchi yake.

Wakati tunapigania madini alisimama upande wa mabeberu.
 
Mkuki ni mtamu kwa Nguruwe, Kwa Binadamu mchungu.

Binafsi sijaona huo ubaya wa Lisu. Yote anayosema ni ya kweli. Namshukuru alinijuza kuwa Rais wetu ni mgonjwa, na nikaja kuujuwa uhalisia wa ukweli.
Ww tundu, viatu vyako ni vidogo sana, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili hawezi kuviva! Maana havitamtosha hata robo! Chuki zako za kipumbafu ndio zimekufikisha hapo! Unashangilia mtetezi wa taifa lako kupatwa na umauti kweli! Ww endelea kulishwa, na kutunzwa na wanaume! Ww endelea kuacha majukumu ya kumtunza mkeo na watoto wako kwa wanaume! Mfyuuuuu!
 
Kwa hali aliyopitia Tundu Lissu hata aongee namna gani yuko sahihi tu. Hayo mambo ya kusema ni msaliti, mara katumwa na mabeberu sio vyema kabisa.
Ifike tu hatua tukubali kuwa wenye mamlaka wamemfanyia mambo sio.
Hata angekuwa nani asingekaa kimya kwa madhila aliyopitia
 
Labda tuvae viatu vya usaliti kwa nchi yake.

Wakati tunapigania madini alisimama upande wa mabeberu.
Tundu Lissu alitoa ushauri mzuri namna ya kudeal na zile kesi za madini.Kwa Upuuzi wetu tukamuona msaliti.Kwa Taarifa yako vita ya madini bado mbichi na sisi ndio tutapoteza
 
Ww tundu, viatu vyako ni vidogo sana, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili hawezi kuviva! Maana havitamtosha hata robo! Chuki zako za kipumbafu ndio zimekufikisha hapo! Unashangilia mtetezi wa taifa lako kupatwa na umauti kweli! Ww endelea kulishwa, na kutunzwa na wanaume! Ww endelea kuacha majukumu ya kumtunza mkeo na watoto wako kwa wanaume! Mfyuuuuu!
Rest easy
1. Godfrey Luena,
2. Leopold Lwabaje
3. Akwilina Akwilini Bafta
4. Daniel John

Tunawakumbuka:
1. Azory Gwanda
2. Simon Kanguye
3. Ben Saanane
 
Back
Top Bottom