Yeye anaongea hivyo ili liwe somo kwa wenye mamlaka kuwa uwajibikaji ndo msingi wa kazi.
Hizo kauli kuna wengine zinawachoma. Kwa maana wanaona kabisa hawajatenda haki kwa Tundu Lissu.
Hivi mmemwona tu Tundu Lisu peke yake ndio anahaki za binadamu je wale wenyekiti wa ccm, mapolisi na raia waliokuwa wakiuawa Kibiti na magaidi sijui wa wapi mbona hamkushupaza shingo hivi na kupaza sauti au Tundu lisu ndio binadamu peke ake