THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa.
Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo.
Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea Ushindi Timu za Simba na Yanga ili tuendelee kufurahia Soka La kimataifa kila weekend.
Sisi hatupendi soka linalorushwa na Azam pekee Afrika, Camera hazieleweki Mtangazaji Baraka Mpenja msema maneno mengi kama MC goli limepita mbali utasikiii ni hatariiii nini pale.
Kwahio kwa mara nyingine Mungu azisaidie hizi Team zipite tuendelee kufurahia soka la kiingereza na DSTV mpira unauona unafurahii,Refa hakataii goli kwa Matakwa yake.
NOTE:Mkileta usimba na Uyanga kwenye Reply nakutukana😂