Mkuu sometimes unakuwa na IQ kubwa ila unashindwa kung'amua mambo madogo sana pitia hapo juu ulivyonipinga then hapa umekuja kisapoti moja ya point yangu bila kufahamu...muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada ila kwasababu alishaweka akiri yake kuwa positive kupokea aina ya maoni 'pole' 'yatapita' hatoelewa nilochoandika.
Man Of October
mkuu October man ya Mungu mengi usitukane wakunga na uzazi ..........?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanaJF mmoja hapa aliandika hivi..."kabla hujalima jiulize nani atanunua mazao yako?" nimefikisha kurasa 23 za "andiko" langu la kumjibu huyu member japo mwanzoni sikuelewa alikuwa na maana gani! Utajiri upo kwenye kilimo!'Kwa miezi ya mwishoni mwa mwaka jana nilipoteza shambani zaidi ya sh 14,521,000 kwenye nyanya'
Mtoa mada utanisamehe,kilimo kibongo bongo ni kujitafutia umasikini tu.
Samahani lakini mkuu.
dodge
Kuna mwanaJF mmoja hapa aliandika hivi..."kabla hujalima jiulize nani atanunua mazao yako?" nimefikisha kurasa 23 za "andiko" langu la kumjibu huyu member japo mwanzoni sikuelewa alikuwa na maana gani! Utajiri upo kwenye kilimo!
Ndio mkuu, kilimo ni utajiri tosha...Safi sana mkuu,kwa hio umesha-confirm kilimo kinaweza kuleta utajiri hapa bongo sio mkuu?
dodge
Aisee ulirudishiwa ile pesa yako?Hauko peke yako mkuu
Sawa mkuu,all the best.Ndio mkuu, kilimo ni utajiri tosha...
Mpaka pale utaposhuhudia jeneza langu ndio utakuwa na haki ya kusema huyu kitu hiki kijamsaidia.'muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada'.
Unajua hivyo sensitive unavyoandika kama wewe mwenyewe havijakusaidia/hauna hela ni kama unapiga kelele tu mkuu?
dodge
Mpaka pale utaposhuhudia jeneza langu ndio utakuwa na haki ya kusema huyu kitu hiki kijamsaidia.
Take it.
Man Of October
pole sana mkuu my hubby and I tunapita kwenye situation kama yako inatakiwa tarehe 1feb tukamuone landlord ila Mungu ni mwaminifu atafanya njia pasipo na njia
Hahah umeamua kufukua kaburi mzee baba,hapo ndipo utajua tunapolia hali ni ngumu kila mtu hua ana kipimo chake mkuu hahah.Nahitaji iphone 6+ au 7+
Habari wakuu, Naomba mnisaidie nataka kununua iphone 6+, kuna uzi nimeona wanasema simu za makumbusho ni refurbished au kama kuna mtu anauza 7+ anakaribishwa PM, Bei za mlimani city nimeshindwa mfuko wangu hauniruhusu kabisawww.jamiiforums.com
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Taratibu nduguNimesoma kwa umakini hadi nilipofika 'ujenzi haujaisha, nimepoteza 14m, nina gari ndogo' nikaona umeleta thread hii kuwachora wenye hali ngumu kiukweli.
Saiz maparachichi...
am better here
Trend ya kupanda Miti kule njombe iliishiaga wapi mkuu?Saiz maparachichi...
am better here
Wewe jamaa kilakitu kukosoa sijaona kitu kinaachohusu uchumi ukasapoti au unakula kwa wazazi bule.Trend ya kupanda Miti kule njombe iliishiaga wapi mkuu?
dodge