Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Bila kusahau matrailer mzee...mbioni naachana na DUP naisubiria EAE kwa hamu sana...😂😂😂😂
 
Hongera mkuu, mi nahisi hata E itanipita
 
Bora msala uhamie Kwa wenye Namba E maana WA namba D tulikoma , wezi walikuwa wakiona namba D kama wameona Lulu
Inategemea na aina ya gari.
Pili siku hizi kuiba gari ni mzigo tu
 
Hahahaha apo ndo shida sasa
Na watu hawaelewi, ukute mnunuaji ndo kapata gari yake ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
→_→
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…