Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Mungu akipenda nitagombea kupitia tiketi ya fisi m ubunge wa simanjiro.
Wasifu.
Mimi ni mmasai original
MImi ni mwanamke
Nahuruma nimkweli mpenda maendeleo
Sijajaliwa uongo .
nitamwomba yule baba akapumzike sendeka ni mmojomba wangu so atatoa tu wamasai oye nigombee .
 
Mheshimiwa kama unawafahamu hao wadau naomba uni PM
Poa mkuu, pia jitahidi ukiwa Vwawa ufike vijiwe kama Jekas, Pale Appex Bar, Richie Richie maeneo hayo ndio siasa ya Vwawa inajadiliwa sana na washikadau wa chama ndio huwa wanakuwepo. Mh Zambi usiache kumtafuta anajua kona zote ingawa walimchezea rafu akakosa ubunge.

Nikipita huko nitajiandikisha niwe mpiga kura wako.
 
Ahsante sana mkuu kwa madini mazito nitafika hayo maeneo yote.
 
Back
Top Bottom