Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #61
2025 utakua mjengoni unamwaga madini ya kuwaletea wanasegerea maendeleo wamechelewa sana.Jimbo la Segerea nimeshalichukua mapema kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025 utakua mjengoni unamwaga madini ya kuwaletea wanasegerea maendeleo wamechelewa sana.Jimbo la Segerea nimeshalichukua mapema kweupe
Nataka mkuu, ila wakati umefika wa kushiriki kuleta mabadiliko kwa vitendo.Hutaki tena kutawaliwa?
Shikiria hapohapo usiogope kugombea ni haki ya kila mtanzania. Vijana amkeni amkeni.Mungu akipenda nitagombea kupitia tiketi ya fisi m ubunge wa simanjiro.
Wasifu.
Mimi ni mmasai original
MImi ni mwanamke
Nahuruma nimkweli mpenda maendeleo
Sijajaliwa uongo .
nitamwomba yule baba akapumzike sendeka ni mmojomba wangu so atatoa tu wamasai oye nigombee .
Wengi tunakimbilia kule tukiamini ni kama ajira zingine tu; lengo kuu huwa ni kupata kipato binafsi kupitia migongo ya wapiga kura tu.Nataka mkuu, ila wakati umefika wa kushiriki kuleta mabadiliko kwa vitendo.
Sana,Hongera sana mkuu pambania nafasi yako
Mimi kiukweli nachohitaji ni kuwatumikia wananchi wa jimbo la Mbozi. Kuwaletea mabadiliko ya kweli.Wengi tunakimbilia kule tukiamini ni kama ajira zingine tu; lengo kuu huwa ni kupata kipato binafsi kupitia migongo ya wapiga kura tu.
Ningekuwa mimi ndio nawapitisha, ningepitisha hili azimio; uza vitu vyako vyote unavyomiliki na uwagawie wapiga kura wako wote ili wajikomboe na umasikini; kisha ndio uchukue fomu ya kugombea.Mimi kiukweli nachohitaji ni kuwatumikia wananchi wa jimbo la Mbozi. Kuwaletea mabadiliko ya kweli.
Hili azimio lipo kikatiba?Ningekuwa mimi ndio nawapitisha, ningepitisha hili azimio; uza vitu vyako vyote unavyomiliki na uwagawie wapiga kura wako wote ili wajikomboe na umasikini; kisha ndio uchukue fomu ya kugombea.
Umekuja kwenye pointi muhimu, ambapo ndipo matatizo yanapoanzia.Hili azimio lipo kikatiba?
Nenda mpige rafu huyo dada shonza julianaMimi kiukweli nachohitaji ni kuwatumikia wananchi wa jimbo la Mbozi. Kuwaletea mabadiliko ya kweli.
Juliana Shonza ni ndugu yangu wa damu kabisa lakini yeye ni mbunge wa viti maalumNenda mpige rafu huyo dada shonza juliana
Kabisa mkuu wangu uongozi ni kufuata kanuni na taratibu za katiba na sio utashi wangu. Kama nikitumia utashi wangu lazima nikahikishe unakua ndani ya mipaka ya katiba.Umekuja kwenye pointi muhimu, ambapo ndipo matatizo yanapoanzia.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.Wabunge wabunge watarajiwa karibuni siti za mbele
Mkuu unaweza kuleta mabadiliko kuwa na imani, jiamini unaweza leta zungumza na wananchi waombe kura.Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
kwa mazingira hayo, maendeleo ya wananchi yatategemea utashi wa kiongozi husika.Kabisa mkuu wangu uongozi ni kufuata kanuni na taratibu za katiba na sio utashi wangu. Kama nikitumia utashi wangu lazima nikahikishe unakua ndani ya mipaka ya katiba.
Ni kweli mkuu wangu haya mambo ya uongozi yanahitaji hekima kwelikweli.kwa mazingira hayo, maendeleo ya wananchi yatategemea utashi wa kiongozi husika.
Kwa navyo kufahamu una uwezo wa kuchukua ubunge wa viti maalum kwenye jimbo lako. Jaribu kufanya jambo.Vimada wenu tunawatakia ushindi wa kishindo.....mpite bila kupingwa ili mje kula raha na sisi
Hapana mheshimiwa, hayo sio mambo yangu mie.....nakutakia tu ushindi wa kishindo usisahau kunipa lift kwenye vieite.Kwa navyo kufahamu una uwezo wa kuchukua ubunge wa viti maalum kwenye jimbo lako. Jaribu kufanya jambo.