Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Nani kakuambia mabadiliko lazima yaletwe na hizo nafasi za kisiasa?
Mkuu mimi naamini kwamba ukiona wenzako wanakushinda ujue wamekuzidi akili na nguvu. Hivyo inabidi uchague moja either kuongeza akili na nguvu au uamue kukata tamaa.

Mimi kiukweli nimechagua upande wa kwanza kuitafuta nguvu na akili tu niweze kushindana.
 
Usichanganye kukata tamaa na kupuuza. Kungekuwa na ushindani hiki unachosema kingekuwa na maana. Sio kwa uhayawani ule unaofanyika kwenye chaguzi zetu. Unapoona idadi ya wapiga kura imepungua kupita kiasi, sio dalili ya kukata tamaa, Bali ni kulipuuza zoezi Zima maana ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Mheshimiwa unaweza kuongezea nyama kidogo
Kama hutanyosha mkono chama tawala utaishia kugombea tu,ni mpaka uliwe kwanza ndio ufikriwe kupata nafasi na baada ya hapo ujifunze judo na careti zitakazo kupa nguvu za kuteka wagombea na kupora form za wagombea wa vyama vya upinzani,ukishindwa hapo jiandae siku ya kupiga kura kujaza kura fake kwenye masanduku ya kupigia kura.
 
Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025.

Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.

Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu.

Hivyo watanzania wenzangu wenye nia kama hiyo msiogope.

Mkiendelea kuogopa taifa letu haliwezi kupata maendeleo mnayoyataka.

Mkiogopa mambo hayawezi kuwa vile mnavyotaka.

Mabadiliko ya kweli yanatakiwa yaanze nawewe mwenyewe.

Hivyo nimeandika mada hii nikiwa mwenye nia thabiti ya kugombea ubunge jimbo la Mbozi.

Kama Kuna wengine pia wanaogombea naomba tukae hapa tujadili mikakati, changamoto na faida mbalimbali za kugombea ubunge.

Tujadili ni jinsi gani tunaweza kupambana na changamoto hizo na kwa kutumia mikakati ipi.

Lakini tusisahu faida tutakazo zipata mara baada ya kugombea.

Lakini pia ni changamoto zipi wanazopitia wabunge huko bungeni.
Hongera mkuu ni maamuzi mazuri,
Naamini umejipanga vizuri kukabiliana I think ni Mh David Silinde naibu waziri Kama nakumbuka vizuri

Lakini Naomba kuuliza Kuna siku ulileleta taarifa ya kupewa mabilion

Na ukaomba mawazo ya miradi ya kutekeleza yenye faida

Naomba utupe mrejesho mkuu

Nafikiri tuanzie hapo
Maana tunatamani wabunge wazuri 2025
 
Ahsante sana mkuu kwa maelezo mazuri. Naomba nikuweke sawa Mh David Silinde ni mbunge wa jimbo la Tunduma. Mimi napeperusha bendera kugombea jimbo la Mbozi.

Zile taarifa za mabilioni siwezi kuziingiza kwenye mambo haya ya kugombea ubunge mkuu. Siku nikipata muda nitakuja kwa mara nyingine na mada hii.
 
Mkitaka waganga wazuri mnitafute niwapeleke!!
 
Ahsante sana mkuu kwa maelezo mazuri. Naomba nikuweke sawa Mh David Silinde ni mbunge wa jimbo la Tunduma. Mimi napeperusha bendera kugombea jimbo la Mbozi.

Zile taarifa za mabilioni siwezi kuziingiza kwenye mambo haya ya kugombea ubunge mkuu. Siku nikipata muda nitakuja kwa mara nyingine na mada hii.

Kumbe ulipewa mabilioni, huenda hayo ndio yanakupa jeuri ya kugombea maana unajua una hela za kuhonga, na kulipa wakora ili kuteka wagombea wa upinzani.
 
Ukweli vijana tunapaswa kwenda kung'oa mizizi ya wakoloni weusi ambao wanadhani hii nchi ni ya vizazi vyao. Tunaweza lakini tujue kabisa tunakwenda kupambana na waliokubuhu Katika rushwa. Mtu ana miaka 20 kwenye Ubunge na pesa za Jimbo kaziweka kwenye account yake na wewe umetoka fresh from university ukaingia street na Sasa unatoka fresh from street with nothing. Neema ya Mungu inahitajika kushinda. Na nchi yetu mpaka mjumbe wa nyumba 10 anasubiri uchaguzi mkuu ndo wakati wa kula wewe unakuja na maneno mwenzio anakuja na mpunga. Hii imekaaje.

Mi binafsi nitagombea huko mkoa wa Dodoma nikitaja Jimbo wengi watanijua naficha ID.
 
Kama hutanyosha mkono chama tawala utaishia kugombea tu,ni mpaka uliwe kwanza ndio ufikriwe kupata nafasi na baada ya hapo ujifunze judo na careti zitakazo kupa nguvu za kuteka wagombea na kupora form za wagombea wa vyama vya upinzani,ukishindwa hapo jiandae siku ya kupiga kura kujaza kura fake kwenye masanduku ya kupigia kura.
Mkuu ukiona wenzako wanafanikiwa kwenye jambo fulani ujue wamekuzidi akili na nguvu. Je wewe umekubali.
Akili na nguvu walizokuzidi ni halisi
 
Ukweli vijana tunapaswa kwenda kung'oa mizizi ya wakoloni weusi ambao wanadhani hii nchi ni ya vizazi vyao. Tunaweza lakini tujue kabisa tunakwenda kupambana na waliokubuhu Katika rushwa. Mtu ana miaka 20 kwenye Ubunge na pesa za Jimbo kaziweka kwenye account yake na wewe umetoka fresh from university ukaingia street na Sasa unatoka fresh from street with nothing. Neema ya Mungu inahitajika kushinda. Na nchi yetu mpaka mjumbe wa nyumba 10 anasubiri uchaguzi mkuu ndo wakati wa kula wewe unakuja na maneno mwenzio anakuja na mpunga. Hii imekaaje.

Mi binafsi nitagombea huko mkoa wa Dodoma nikitaja Jimbo wengi watanijua naficha ID.
Hapa nikutumia mbinu za ziada walizotumia wenzetu waliowahi kuingia bungeni kwa njia tunayo anza nayo sisi. Lakini kujiamini na kumwaga sera za kweli za kuleta maendeleo kiwe ndio kipaumbele.

Wananchi wanakiu ya kuwasikia watu wakuwaletea maendeleo ya kweli.
 
Hongera mkuu ni maamuzi mazuri,
Naamini umejipanga vizuri kukabiliana I think ni Mh David Silinde naibu waziri Kama nakumbuka vizuri

Lakini Naomba kuuliza Kuna siku ulileleta taarifa ya kupewa mabilion

Na ukaomba mawazo ya miradi ya kutekeleza yenye faida

Naomba utupe mrejesho mkuu

Nafikiri tuanzie hapo
Maana tunatamani wabunge wazuri 2025
Silinde ni mbunge wa momba, I think
Mbozi ni conjester
 
Hapa nikutumia mbinu za ziada walizotumia wenzetu waliowahi kuingia bungeni kwa njia tunayo anza nayo sisi. Lakini kujiamini na kumwaga sera za kweli za kuleta maendeleo kiwe ndio kipaumbele.

Wananchi wanakiu ya kuwasikia watu wakuwaletea maendeleo ya kweli.
Umeongea kweli niliwahi kumsikiliza Polepole alisema kwa nyie vijana wazalendo mnaotaka kugombea kwa kuitoa miamba ya rushwa majimboni msitumie hata mia kuhonga...tumieni ushawishi wa kuwaletea wananchi Maendeleo ya kweli. Ukisema utoe rushwa au kuhonga hutaweza! Chaguliwa kwa imani tu kutoka kwa wananchi. Huwezi shindana na fisadi la miaka 10 Hadi 20 kutoa rushwa.
 
Back
Top Bottom