Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Ni kweli mkuu ni kuwa na imani tu
 
Kama Mbozi mnataka maendeleo msije kujiroga mkachagua nyumbu wa Chadema,mtaishia kususwa kama Tunduma na Mbeya Mjini wakati Walipochagua nyumbu.

Mbozi Kuna project ya Tactic Kwa upendeleo kama Bagamoyo,wakijiroga tuu wakachagua Chadema hiyo project itahamishiwa Mkuranga.Nikp.palee nasubiria matokeo ya serikali za mitaa.
 
Mkuu hongera kwa maelezo mazuri. Endelea kufunguka zaidi.
 
Mkuu kila la heri.

Tumia elimu, uzoefu na ujuzi wako kwenye masuala ya gesi na mafuta kusaidia nchi kupitia ubunge wako utakaoupata mwaka 2025.
Katika wilaya ya Mbozi kuna dalili za uwepo wa mafuta (petroleum reserve) katika machimbo ya makaa ya mawe. Hili nalo lazima nilifanyie kazi ili kuhakikisha hayo mafuta yananufaisha wilaya ya Mbozi na Tanzania kwa ujumla.
 
Shukrani sana mkuu, hichi ulichonipatia leo nakiita mkakati wangu wa kwanza katika kuusaka ubunge wa jimbo la Mbozi 2025.
 
Dkt Samizi bado wilaya inamuhitaji na ikitokea akaanguka basi Jamal Tamimu ndiye mrithi pekee.

Ni maoni binafsi mkuu
my friend,
in politics anything can happen at occasion in any time.

ni kujipanga na kujizatiti tu,
wakati wote uwe tayari kuwatumikia wanainchi.....
ya Mungu ni mengi etiiii.......
YOU NEVER KNOW...
 
my friend,
in politics anything can happen at occasion in any time.

ni kujipanga na kujizatiti tu,
wakati wote uwe tayari kuwatumikia wanainchi.....
ya Mungu ni mengi etiiii.......
YOU NEVER KNOW...
Siasa ni yetu sote na uongozi ni wetu sote. Mkuu usirudishwe nyuma chukua form gombea ubunge.
 
😀 ndugu mtia nia mi niko rada na halafu niko chonjo mbaya sana,

lakini pia nipo in place tangu mapema sana aiseeee.....
Hivyo ndivyo unatakiwa kuwa boss. Unayajua vyema matatizo ya jimbo lako. Unazijua weakness za mbunge wako wa sasa, hapo ndipo pa kuingilia.
 
Ingia katika ulingo wa siasa tafutiza weakness zote za mbunge wako wasasa kisha muda ukifika anza kujinadi vilivyo hakika utachukua jimbo mchana kweupe na kutinga mjengoni pale Dodoma. Vijana amkeni msilale tena.
 
Lakini unapoamua kuwa kiongozi wa kisiasa Unataka kuwa kiongozi wa umma
Uwazi ni muhimu haswa kwenye Idea kubwa uliyoileta hapa ya mabilioni
Ili tujue historia yako vizuri ya uadilifu kwenye fedha
Historia inabeba MTU au kumwangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…