Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Umeongea kweli niliwahi kumsikiliza Polepole alisema kwa nyie vijana wazalendo mnaotaka kugombea kwa kuitoa miamba ya rushwa majimboni msitumie hata mia kuhonga...tumieni ushawishi wa kuwaletea wananchi Maendeleo ya kweli. Ukisema utoe rushwa au kuhonga hutaweza! Chaguliwa kwa imani tu kutoka kwa wananchi. Huwezi shindana na fisadi la miaka 10 Hadi 20 kutoa rushwa.
Ni kweli mkuu ni kuwa na imani tu
 
Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025.

Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.

Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu.

Hivyo watanzania wenzangu wenye nia kama hiyo msiogope.

Mkiendelea kuogopa taifa letu haliwezi kupata maendeleo mnayoyataka.

Mkiogopa mambo hayawezi kuwa vile mnavyotaka.

Mabadiliko ya kweli yanatakiwa yaanze nawewe mwenyewe.

Hivyo nimeandika mada hii nikiwa mwenye nia thabiti ya kugombea ubunge jimbo la Mbozi.

Kama Kuna wengine pia wanaogombea naomba tukae hapa tujadili mikakati, changamoto na faida mbalimbali za kugombea ubunge.

Tujadili ni jinsi gani tunaweza kupambana na changamoto hizo na kwa kutumia mikakati ipi.

Lakini tusisahu faida tutakazo zipata mara baada ya kugombea.

Lakini pia ni changamoto zipi wanazopitia wabunge huko bungeni.
Kama Mbozi mnataka maendeleo msije kujiroga mkachagua nyumbu wa Chadema,mtaishia kususwa kama Tunduma na Mbeya Mjini wakati Walipochagua nyumbu.

Mbozi Kuna project ya Tactic Kwa upendeleo kama Bagamoyo,wakijiroga tuu wakachagua Chadema hiyo project itahamishiwa Mkuranga.Nikp.palee nasubiria matokeo ya serikali za mitaa.
 
Kama Mbozi mnataka maendeleo msije kujiroga mkachagua nyumbu wa Chadema,mtaishia kususwa kama Tunduma na Mbeya Mjini wakati Walipochagua nyumbu.

Mbozi Kuna project ya Tactic Kwa upendeleo kama Bagamoyo,wakijiroga tuu wakachagua Chadema hiyo project itahamishiwa Mkuranga.Nikp.palee nasubiria matokeo ya serikali za mitaa.
Mkuu hongera kwa maelezo mazuri. Endelea kufunguka zaidi.
 
Mkuu kila la heri.

Tumia elimu, uzoefu na ujuzi wako kwenye masuala ya gesi na mafuta kusaidia nchi kupitia ubunge wako utakaoupata mwaka 2025.
Katika wilaya ya Mbozi kuna dalili za uwepo wa mafuta (petroleum reserve) katika machimbo ya makaa ya mawe. Hili nalo lazima nilifanyie kazi ili kuhakikisha hayo mafuta yananufaisha wilaya ya Mbozi na Tanzania kwa ujumla.
 
kwa mfano,
Ndugu mtia nia, Jimbo lako lina taarafa ngap?

Lakini pia lina kata ngap?

vip vijiji na vitongij viko vingap🐒

idadi ya watu je kulingana na sensa ya majuzi 🐒

vip idadi ya wapiga kura ikoje, rejea uchaguzi ulopita na zingatia maboresho ya daftari la kudumu la wapga kura wakati huu🐒

This is the homework.

Plz build the foundation for your mjengoni journey2025 on this platform 🐒
Shukrani sana mkuu, hichi ulichonipatia leo nakiita mkakati wangu wa kwanza katika kuusaka ubunge wa jimbo la Mbozi 2025.
 
Dkt Samizi bado wilaya inamuhitaji na ikitokea akaanguka basi Jamal Tamimu ndiye mrithi pekee.

Ni maoni binafsi mkuu
my friend,
in politics anything can happen at occasion in any time.

ni kujipanga na kujizatiti tu,
wakati wote uwe tayari kuwatumikia wanainchi.....
ya Mungu ni mengi etiiii.......
YOU NEVER KNOW...
 
my friend,
in politics anything can happen at occasion in any time.

ni kujipanga na kujizatiti tu,
wakati wote uwe tayari kuwatumikia wanainchi.....
ya Mungu ni mengi etiiii.......
YOU NEVER KNOW...
Siasa ni yetu sote na uongozi ni wetu sote. Mkuu usirudishwe nyuma chukua form gombea ubunge.
 
😀 ndugu mtia nia mi niko rada na halafu niko chonjo mbaya sana,

lakini pia nipo in place tangu mapema sana aiseeee.....
Hivyo ndivyo unatakiwa kuwa boss. Unayajua vyema matatizo ya jimbo lako. Unazijua weakness za mbunge wako wa sasa, hapo ndipo pa kuingilia.
 
Ingia katika ulingo wa siasa tafutiza weakness zote za mbunge wako wasasa kisha muda ukifika anza kujinadi vilivyo hakika utachukua jimbo mchana kweupe na kutinga mjengoni pale Dodoma. Vijana amkeni msilale tena.
 
Ahsante sana mkuu kwa maelezo mazuri. Naomba nikuweke sawa Mh David Silinde ni mbunge wa jimbo la Tunduma. Mimi napeperusha bendera kugombea jimbo la Mbozi.

Zile taarifa za mabilioni siwezi kuziingiza kwenye mambo haya ya kugombea ubunge mkuu. Siku nikipata muda nitakuja kwa mara nyingine na mada hii.
Lakini unapoamua kuwa kiongozi wa kisiasa Unataka kuwa kiongozi wa umma
Uwazi ni muhimu haswa kwenye Idea kubwa uliyoileta hapa ya mabilioni
Ili tujue historia yako vizuri ya uadilifu kwenye fedha
Historia inabeba MTU au kumwangusha
 
Back
Top Bottom