binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Ugonile,
kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!!
Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana. Binafsi nipo kwenye hili Kundi.
Ikitokea mdada wa watu akanasa kwangu basi hakuna rangi ataacha kuona. zamani nilikua normal tu caring za hapa na pale ila ila saiv kadri siku zinavozidi kwenda naona kama napungukiwa utu linapokuja suala la mahusiano, kama hatupo karibu basi communication inashuka sana muda mwingi nipo bize na mambo yangu.
Muda wa kuentertain drama za wanawake sina, akilia huko alipo sijali, akilia mbele yangu ndo sijali kabisa. Nshatamkiwa maneno mabaya na maex zangu kwa sababu za kutojali hisia zao ila sijali mpaka kesho.
najua humu wengi ndo wanateswa na mapenzi ila kama kuna wanaume/wanawake wenye tabia kama zangu tuacheni tafadhali. Kama kweli Karma ipo basi itakuja kutunyoosha vibaya sana.
View attachment 3389621
Nawasilisha
View attachment 3389618
Mambo ni mengi mkuuNtakupigia🥶
I don't know what to do after allHurt people, hurt people.
Unaweza kuamua kuwa nae au kumuacha aende. Wewe umeamua kuwa life lesson kwake!?
Maybe it’s time to hold yourself accountable, don’t you think?
Hapana mkuu, honestly sijawahi kupigwa tukioMleta mada inaonekana ushakuwa traumatized na mahusiano ya awali baada ya kuumizwa umizwa ukaja kuwa sugu ndo maana siku hizi mapenzi unayaona kama SCAM
Inafikirisha, kwaiyo unashauri niendelee kukaza?Ukilegeza basi hamna rangi utaacha kuona
Nazan umemaliza mada mkuu, mimi nilijali sana but mwishoni nikaonekana boya, alaf mrudisha ikawa ngumu sanaa,Siku utakayo Anza kujali, ndio siku utakayo Anza kulizwa.
Mambo ni mengi BL, inabidi tu tuwanyooshe mpaka watapojua kuandika vizuri. wanawake ndo mna iyo tabia sanaKwanini wote mnaoleta humu chat zenu, mnakuwa mnachat kwa maandishi hamyamalizi, au sijui mnaandikianaje 🙄🙄🙄🙄 naona mnapenda. Ingekuwa mimi mmh!!! Sipendi.
🤔Wazee gani haoSaa sita usiku yupo na wazee.
Geti kali mkuu futa iyo sentensi ingineBasi hiyo pisi itakuwa mbovu au mtoto wa geti kali
Kazia hapohapo mkuuInafikirisha, kwaiyo unashauri niendelee kukaza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saa sita usiku yupo na wazee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani.Kwanini wote mnaoleta humu chat zenu, mnakuwa mnachat kwa maandishi hamyamalizi, au sijui mnaandikianaje [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] naona mnapenda. Ingekuwa mimi mmh!!! Sipendi.