Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

Kuna watu wanawindwa na kuwinda humu, sasa unataka wafunguke wakose, au umetumwa?

Huo mtego hatuingii
Watu mmesanukaa mapemaa?! LOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu kama huyu anayendika ...mamm, umemkj, siju xxx...
Pumbavu sikujibu🤣
Yaani sijui wengine wanawezaje, nashukuru hakuna mtu wa karibu, ambaye ananitumia aina hiyo ya maandishi. Fikiria ndiyo mpenzi wako, kila muda ni mm mzm, mmb, mic u, xaxa vp? Yelewiiii namuacha siku hiyohiyo 😅😅😅😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunae shost ana huu uandishi, afu ni degree holder, siku hiyo nilimchana, hata km nina utoto na uduanzi, ila huu wako hapana siutaki.
Andika vizuri bhana, toka hapo anaandika fresh. Lol
 
Nazan umemaliza mada mkuu, mimi nilijali sana but mwishoni nikaonekana boya, alaf mrudisha ikawa ngumu sanaa,
Usibadilishe msimamo wako, but mtafutie muda wake wakuongea na kuwanae
Unapasha viporo hapa braza
 
Kivipi kaka
Muda wa kuwa nae mnafanya nn akati mmeshatengana? Kama nimekuelewa vizuri, huo muda unaompa ni kupasha hapo mana stori za nini tena mshaachana, hata kama mnalea...stori zikiwa nyingi ni kupashana kukumbushia
 
Muda wa kuwa nae mnafanya nn akati mmeshatengana? Kama nimekuelewa vizuri, huo muda unaompa ni kupasha hapo mana stori za nini tena mshaachana, hata kama mnalea...stori zikiwa nyingi ni kupashana kukumbushia
Nilizungumzia kwa watu ambao hawaja achana kaka
 
Wee skilizia kupata msaidizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…