Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

Ngoja nikae mbali na huu Uzi hapa kuna msako wa NYANI kuna mtu ataangushiwa jumba bovu ban ya mda mrefu sitaki kua mmoja wapo leo Jumapili Jana Jumamosi Mods walikua kitambaa Sinza wapo bwii wakikuta tu watu wanaleteana vibese hawaulizi ni kubinyeza kitufe tu Cha ban until further notice
 
Rubbish and Nonsensical. Hongera kwa Kumtetea huyo Mumeo.

Wanafiki na Fools kama nyie huwa mnajitokeza pale tu GENTAMYCINE nikijibu Mapigo kwa ninayofanyiwa na ID's nyingi hapa JamiiForums ila ninapochokozwa na Kudhilishwa nao huwa mnanyamaza na Kufurahia.

Kuna Mtu ( Member ) katika huu huu Uzi wangu kwa Makusudi na kwa Kudhamiria Kanitukana Mimi ni Mbwa mbona sikukuona ukijitokeza kwa Nguvu hii ya Kimaandishi na Maelezo marefu Kukemea na Kumkemea? Mnafiki na Juha mkubwa Wewe.

Hata kama GENTAMYCINE nina hao in active Followers wengi ambao Wanakukera kwakuwa Wewe huna hata Mmoja bado ni Ishara tosha kuwa nina Thamani ( Kitu chema ) ndani yangu ambacho dame Fool Wewe huna na kamwe hutokuwa nacho.

Ni mara ngapi GENTAMYCINE huwa nikianzisha hapa Uzi huwa natoa ANGALIZO kuwa kama hunipendi au huvutiwi nami Kiuwasilishaji wangu usifungue Thread yangu na fungua za Wengine unaowapenda na kuwakubali. Je, ni kwanini huyu Mumeo uliyejjtahidi Kumtetea Kipumbavu hapa huwa ananifuatafuata pamoja na Wapumbavu Wenzake kadhaa huku Wenyewe kila mara na kila Siku Wakihubiri Kunichukia hapa JamiiForums? Je, huwa nawaita au nawalazimisha Wafungue Mada ( Threadi ) zangu? Huna Akili na Mnafiki Mmoja Mkubwa Wewe.

Kama Wewe ni Mmoja wa wasimamia Maudhui wa Jamvi hili na umeamua kutumia ID yako hii ya Binafsi na siyo ile ya Kimamlaka Kunijibu GENTAMYCINE basi nikuambie tu kuwa hufai kuwa hapo, uko biased, una Chuki na Wivu nami na kubwa zaidi you're very Stupid.

Nimemaliza.
 
Zamaradi hakumaliza Saut,mwaka 2005, aliomba kusoma kozi ya Masscom,akiwa darasa moja na Popoma, lakini semister ya kwanza tu,Zamaradi aliferi masomo karibu yote,akaamua kuacha chuo nakukimbilia Dsm
 
Kwani ukisema tu kuwa una hamu na utapenda huku ukifurahia GENTAMYCINE apewe BAN utapungukiwa nini Mnafiki na Juha Wewe?

GENTAMYCINE nikiwa nachokozwa Kutwa hapa JamiiForums, nashambuliwa, natukanwa na nadhalilishwa na IDs zile zile huwa hamjitokezi Kukemea au kuwaita Moderators au kuwaombea BAN hao Wapumbavu Wenzenu ila nikijibu tu Mapigo yangu Makali ya Kimashambulizi ndiyo Wanafiki mnajitokeza kuanza Kunilaumu na kuniona ni Mkorofi na Mkosaji.

Kwa taarifa yako tu najua hizo IDs zote zinazonikubali haya ni za Kimkakati ili zinishambulie Kutwa hapa JamiiForums na ziwe zinaharibu Flow ya Mada zangu mbalimbali ili Nihamaki kisha nikijibizana nao nipigwe BAN na hii ID inayochukiwa nao na wanayoionea Wivu kutwa kutokana na Kukubalika na kuwa na Mvuto wa Kipekee hapa Jamvini isiendelee kuwepo.

Nipo tayari kwa hiyo BAN uitakayo Ok?
 
Zamaradi hakumaliza Saut,mwaka 2005, aliomba kusoma kozi ya Masscom,akiwa darasa moja na Popoma, lakini semister ya kwanza tu,Zamaradi aliferi masomo karibu yote,akaamua kuacha chuo nakukimbilia Dsm
Genius kama Wewe umepata wapi muda wa Kumjibu huyo Hypocrite and damn Fool Mkuu?

Cc: Bangida
 
Gentamycine kuna kipindi alikua anafanya kazi JF Dar Es Salaam
 
Itakuwa ulisoma tar ya kufa, na ya kuzikwa. Sio kuzaliwa. Kuna muda na mm niliwah kujichanganya hivo hivo kama wewe. Kudhani marehem alikufa kabla hajazaliwa.
 
Gentamycine kuna kipindi alikua anafanya kazi JF Dar Es Salaam
Mimi ni Mshamba, Kwetu ni Bunda Mkoani Mara, ni Mwalimu wa Chekechea, ni Masikini, sina Ajira yoyote ( nipo nipo tu ) na kamwe sijawahi na sitowahi kuishi Dar es Salaam.

Usimkatalie LIKUD tafadhali anayejfanya na anajitahidi Kuwaaminisha Watu kuwa ananijua vilivyo GENTAMYCINE kama ambavyo nawe pia unajitahidi kutaka kuonyesha kuwa unanijjua japo leo umetumia ID yako nyingine.
 
Itakuwa ulisoma tar ya kufa, na ya kuzikwa. Sio kuzaliwa. Kuna muda na mm niliwah kujichanganya hivo hivo kama wewe. Kudhani marehem alikufa kabla hajazaliwa.
Tuliza Akili tafadhali.....

Jina la Marehemu X

Kuzaliwa tarehe 7 July, 2023

Kufa tarehe 6 July, 2023

Acheni kunilazimisha niwe Nawadharau.
 
Kumbe bwana katukosea wengi hebu bwana LIKUD Utambue huu wajibu wa kutandika huyu bwana ninjukumu la kitaifa
 
Anayekuweka au?

Tafadhali nimempa Taarifa Kamili huyo Basha wako juu ya nani ni Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe hivyo mwambie na Yeye ( Basha Wako ) aweke Uhakika wa Taarifa yake.

Idiot.
Jibu maswali acha kulia lia

Uko weak sana ndio maana unatumia mbinu ya matusi kufukuza upinzani, mtu mwenye hoja hawezi kufanya ujinga kama huu wako Mkuu.

Alafu heshima ni kitu cha bure, sawa popoma.
 
Nimeshamthibitishia Basha wako kuhusu nani ni Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe hivyo nakuomba mwambie Basha wako uliyemtaja hapa nae athibitishe wake.

Pumbavu na leo nimemuumbua mno.
Mkuu amini unaumwa ugonjwa wa akili.

Tafuta mnasaha akusaidie.
 
We ulishaletaga uzi hapa ukasema ushaachana na uislamu, inakuwaje tena unasema we ni muislam?
 
Blaza, mbona umepanic hivo?🤣🤣🤣🤣🤣
1. About followers, almost kila mtu anao, hata mimi ninao, but JF nzima wewe pekee ndo mtu unaependa kujisifia sana kuhusu followers as if kuna vijisenti vinatolewa kwa kuwa nao. Sometimes hili linafanya niamini umezoea facebook so unahisi hata huku JF ukiwana followers wewe n special. Just know kuwa nao ni kitu cha kawaida sana.
2. Umeitwa mbwa mara moja tu, umewaka kiasi hiki, but wewe kila post ambayo inakupiga spana lazma utukane,. Mwanaume yoyote ambae anabishana jwa matusi badala ya hoja ni yule ambae ni muoga, na pia ni insecure. Tunajua wewe ni andunje (mfupi sana), hayo mengine tutayajua tu.
3. Unajifanya strong lakn nmeona wewe ni muoga sana. Kila mara unajifanya kusema either account ni za mods n.k ili upate cha kusema ukipigwa ban. Just know hakuna anaekuchukia, sanasana huwa unachekesha.

Kama ni kweli uko bunda, be proud, kwan lazma uonekane wa daslamu? Mbona hata sisi hatuishi daslamu but we r fine?
We chukua zako lile lapulapu, kimbia ziwani, sugua mguu na kijiwe chako, osha ndala zako vizuri, ingia oga, toka jipake sabuni, wahi nyumbani ukae uskiluze redio huku ukisubiria chakula.
 
mbona kiuandishi na mtiririko wake hii id yako haina tofauti na ya LIKUD na ya Bongotunacheza? kuna muda kumbe gentamycine akiwa anawadharau, anawashushua na kuwajibuni hovyo huwa yuko sahihi.
 
We ulishaletaga uzi hapa ukasema ushaachana na uislamu, inakuwaje tena unasema we ni muislam?
tokea gentamycine amuumbue jana kuhusu huyo imamu wa huo msikiti kuwa ni sheikh abdallah abedi huku yeye akikurupuka kukataa kuwa si yeye kaamua kumkimbia na kuna watu waliamini kuwa jamaa gentamycine kakosea na kadanganya.
 
Mkuu amini unaumwa ugonjwa wa akili.

Tafuta mnasaha akusaidie.
akija kukujibu usivyotaka tafadhali usianze kumlalamikia au kuomba msaada kwa mods. mnanchokoza wenyewe hivyo msianze kulialia kwa majibu umiza yake.
 
Jibu maswali acha kulia lia

Uko weak sana ndio maana unatumia mbinu ya matusi kufukuza upinzani, mtu mwenye hoja hawezi kufanya ujinga kama huu wako Mkuu.

Alafu heshima ni kitu cha bure, sawa popoma.
kaa tayari kwa jibu lake na najua hutolipenda na litakuumiza. mkiambiwa achaneni nae fanyeni yenu hamsikii.
 
Kumbe bwana katukosea wengi hebu bwana LIKUD Utambue huu wajibu wa kutandika huyu bwana ninjukumu la kitaifa
mbona sasa hivi hujamuita tena mbwa kama ulivyomuita katika moja ya post yako na umeifuta haraka ila yeye gentamycine alishakuwa nayo na kuinukuu kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…