Shida n kwamba, baada ya kupost thread zako, kinachofata kwenye comments from you ni kujitetea kwiiingi na kujaribu kurusha matusi.
You have this fkd up ego ambayo inakufanya ujione you are soo better kwa sababu ya followers wachache humu, wakat you know humu ni fake ID's, na unaweza kuta hao ni dormant multiple ID za watu wengine. So uko na followers ambao ni in-active.
Kwa mfano hapo juu,
LIKUD kakuchallenge, lakini everybody saw umejibu mapigo kwa kukimbilia kuomba rehema kwa mods na kuporomosha matusi. Haya, kasema kama marehem n rafiki yako then post picha yake hapa (msiba ni kitu public), hapo pia haukua na supporting documents.
HIyo yote inatufanya tuamini kua asemayo
LIKUD yana ukweli ndani yake.
Just be humble bro, umaarufu wa mtandaoni doesnt pay the bills. Ni aibu mtu mzima kupelekwa puta hadharani.