Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

Pumbavu Wahed.

unajua hadi nakuonea huruma we bushman... for ur information huyo Maalim Abdallah Abeid wa Ukwamani hadi namba zake ninazo. Ninaifajamu vizuri familia yake kuliko wewe unavyo ifahamu wilaya ya Bunda can you imagine that. Naweza kukuwekea hadi namba zake za simu hapa. Ila one thing for sure is you don't know him wala hujawahi fika Dar wewe. .. umesikia tu juu juu taarifa za msiba ukakamata " jina la Abdallah Abeid " na hilo jina la " Hamad" then umeamua kuunganisha matukio kwenye Uzi ili kuwashawishi watu waamini kwamba umewahi kufika dar..

Hujui lolote ndio maana huyo wa kwenye picha umeshindwa kumtaja ni nani na umeshindwa kupost picha ya huyo unae muita Hamad
 
Nakumbukaga ulivyombana anatudanganyaga eti yeye Mtutsi. Kwaanzia siku iyo hana shobo tena ya kujitangaza yeye mtutsi
🤣🤣🤣🤣 hapo nime mchekecha kuhusu Sheikh Abdallah Abeid wa Ukwamani, amechange gia angani anasema ooh Sheikh Abdallah Abeid anaumwa sana so kamteua sijui sheikh nani ndio awe kaimu Imamu wa msikiti wa Ukwamani 🤣🤣🤣 uongo wa kitoto kabisa yani hajui anaongea na muislamu anae jua vizuri taratibu za uongozi wa misikiti
 
Sasa hivi mtaalam LIKUD ataendelea kumbana popoma kwenye kona na kumpa za uso nyingi.
Kinachofata kiko wazi, popoma ataanza (ameshaanza) kuporomosha mvua ya matusi ili mods wamuokoe kwa kumpa ban.
Then akishapigwa ban anakuja kimyakimya na ile ID ya MINOCYCLINE hadi watu wasahau kipondo cha leo
 
Leo bwana gentamycin kavamia mtumbwi wa vibwengo..

Mkanyageni shingo bado anapumua 😁😁
Nimependa sana Ulivyoniheshimisha kwa kuniita Bwana huku Wewe ukijijua ni Bibi. Heko sana....!!
 
Sasa hivi mtaalam LIKUD ataendelea kumbana popoma kwenye kona na kumpa za uso nyingi.
Kinachofata kiko wazi, popoma ataanza (ameshaanza) kuporomosha mvua ya matusi ili mods wamuokoe kwa kumpa ban.
Then akishapigwa ban anakuja kimyakimya na ile ID ya MINOCYCLINE hadi watu wasahau kipondo cha leoI

Soon I will stop commenting on his threads cause he posts a lot of nonsense au nitajitoa kabisa JF
 
Sasa hivi mtaalam LIKUD ataendelea kumbana popoma kwenye kona na kumpa za uso nyingi.
Kinachofata kiko wazi, popoma ataanza (ameshaanza) kuporomosha mvua ya matusi ili mods wamuokoe kwa kumpa ban.
Then akishapigwa ban anakuja kimyakimya na ile ID ya MINOCYCLINE hadi watu wasahau kipondo cha leo
Hao Mods wangekuwa makini wangemuachia huyu LIKUD afanye ayafanyayo 24/7 Kwangu?

Ni mara ngapi nimeshawaambia kuhusu tabia ya huyu Mpumbavu wanayemlea.na kumuogopa hapa JamiiForums?

au unadhani sijui kuwa hi ID ya LIKUD ni ya Kimkakati hasa kwa Kunitafutia BAN kwakuwa inapendwa, inafuatiliwa, ina Uwasilishaji wa Kipekee, ina Mvuto wake na ina Umaarufu mkubwa na wa ghafla kuliko IDs zao na nyinginezo?

Na labda nikusaidie tu kuwa GENTAMYCINE sijawahi na sitowahi Kuogop BAN na isitoshe JamiiForums siyo Baba yangu wala Mama yangu sawa na Siko hapa JamiiForums Kujipendekeza kwa Mtu hata kama tunajuana sawa?

Nilimwambia LIKUD na kupitia Kwako hapa namwambia tena nina PhD ya Maneno ya Kukera na ya Kisela na Yeye au Wapumbavu Wenzake hakuna mwenye Ubavu wa Vita ya Maneno / Maandishi na Mimi hapa JamiiForums hata Wao wakiwa 100 na Mimi peke yangu.

Kama LIKUD Anajiamini kwa Vita na Mimi tuwaombe Moderators wa JamiiForums wakae mbali na watupe Saa Tatu Mimi na Yeye za Kupambana ili muone kama hakuomba Poo na Kuukimbia Uzi.

Huna Akili na Yeye pia hana hizo Akili.
 
Nakupa adhabu, sinto comment tena mwenye nyuzi yako yoyote ile kuanzia Leo.
Baada ya Kuumbuka na Kukosea kuhusu Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe Imam Mzee Abdallah Abedi huku Wewe damn Fool ukikataa kuwa si Yeye na Kunibishia.

Naona unazuga Kiaina ila leo Umejichoresha, Umedharaulika na Kuumbuka vibaya. au labda ulidhani Mimi ni Pumbavu Wahed kama Wewe?

Naona kwa sasa ID ya Akiba ya Bongotunacheza imepumzishwa kwa muda kutokana na Jeshi la Mtu Mmoja GENTAMYCINE kuwa HATARI zaidi.
 
Soon I will stop commenting on his threads cause he posts a lot of nonsense au nitajitoa kabisa JF
Pumbavu. Kiingereza chenyewe tu hujui na hiki Ulichokiandika hapa hata Junior wangu hakitumii kwani ni cha wale Wanaojifunza.

Acha Kuzuga unajishtukia huku ukileta hizi Pumba zako baada ya kuona Lengo lako Mama leo la Kuniumbua kuhusu Imam Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe Sheikh Mzee Abdallah Abedi kuwa nimekosea na si Yeye limekubumia kwani uliyemposti Wewe na Picha yake si Yeye na Maelezo yangu yako sahihi 100%. Umedharaulika, Umeumbuka na Unachoreka kweli kweli leo.

Pole sana Idiot Wewe.
 
Kwa Msisitizo na kwa Kujiamini kabisa Imam wa Msikiti wa Ukwamani Kawe ( ulio Jirani kabisa na ATM ya NMB ) ni Mzee Sheikh Abdallah Abedi ambaye amefiwa na Mwanae Marehemu Hamad ( Rafiki yangu ) jana Kijijini Kwao Kilwa.

Ogopa sana Mwanamume wa aina yako ukiwa UNANUKUDIWA hovyo halafu ukawa pia ni Mpumbavu wa Kurithi ni lazima tu kila mara utakuwa Unajipendekeza kwa Wanaume Wengine ili WAKUNUKUDI kama ulivyozoea.

Bahati nzuri hapa JamiiForums wapo Waislamu Wanaosali katika huo huo Msikiti hivyo watasaidia kuonyesha kati yangu na Wewe Mwanaume MNUKUDIWAJI ambaye Kutwa huachi Kunifuatafuata ili nami NIKUNUKUDI nani ni Mkweli na nani ni Muongo na Mpumbavu wa Kurithi kwa waliohangaika kumleta Ulimwenguni
Ila dingi unaandika.. kaah!
 
Hao Mods wangekuwa makini wangemuachia huyu LIKUD afanye ayafanyayo 24/7 Kwangu?

Ni mara ngapi nimeshawaambia kuhusu tabia ya huyu Mpumbavu wanayemlea.na kumuogopa hapa JamiiForums?

au unadhani sijui kuwa hi ID ya LIKUD ni ya Kimkakati hasa kwa Kunitafutia BAN kwakuwa inapendwa, inafuatiliwa, ina Uwasilishaji wa Kipekee, ina Mvuto wake na ina Umaarufu mkubwa na wa ghafla kuliko IDs zao na nyinginezo?

Na labda nikusaidie tu kuwa GENTAMYCINE sijawahi na sitowahi Kuogop BAN na isitoshe JamiiForums siyo Baba yangu wala Mama yangu sawa na Siko hapa JamiiForums Kujipendekeza kwa Mtu hata kama tunajuana sawa?

Nilimwambia LIKUD na kupitia Kwako hapa namwambia tena nina PhD ya Maneno ya Kukera na ya Kisela na Yeye au Wapumbavu Wenzake hakuna mwenye Ubavu wa Vita ya Maneno / Maandishi na Mimi hapa JamiiForums hata Wao wakiwa 100 na Mimi peke yangu.

Kama LIKUD Anajiamini kwa Vita na Mimi tuwaombe Moderators wa JamiiForums wakae mbali na watupe Saa Tatu Mimi na Yeye za Kupambana ili muone kama hakuomba Poo na Kuukimbia Uzi.

Huna Akili na Yeye pia hana hizo Akili.
Shida n kwamba, baada ya kupost thread zako, kinachofata kwenye comments from you ni kujitetea kwiiingi na kujaribu kurusha matusi.
You have this fkd up ego ambayo inakufanya ujione you are soo better kwa sababu ya followers wachache humu, wakat you know humu ni fake ID's, na unaweza kuta hao ni dormant multiple ID za watu wengine. So uko na followers ambao ni in-active.
Kwa mfano hapo juu, LIKUD kakuchallenge, lakini everybody saw umejibu mapigo kwa kukimbilia kuomba rehema kwa mods na kuporomosha matusi. Haya, kasema kama marehem n rafiki yako then post picha yake hapa (msiba ni kitu public), hapo pia haukua na supporting documents.
HIyo yote inatufanya tuamini kua asemayo LIKUD yana ukweli ndani yake.

Just be humble bro, umaarufu wa mtandaoni doesnt pay the bills. Ni aibu mtu mzima kupelekwa puta hadharani.
 
Back
Top Bottom