LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Pumbavu Wahed.
unajua hadi nakuonea huruma we bushman... for ur information huyo Maalim Abdallah Abeid wa Ukwamani hadi namba zake ninazo. Ninaifajamu vizuri familia yake kuliko wewe unavyo ifahamu wilaya ya Bunda can you imagine that. Naweza kukuwekea hadi namba zake za simu hapa. Ila one thing for sure is you don't know him wala hujawahi fika Dar wewe. .. umesikia tu juu juu taarifa za msiba ukakamata " jina la Abdallah Abeid " na hilo jina la " Hamad" then umeamua kuunganisha matukio kwenye Uzi ili kuwashawishi watu waamini kwamba umewahi kufika dar..
Hujui lolote ndio maana huyo wa kwenye picha umeshindwa kumtaja ni nani na umeshindwa kupost picha ya huyo unae muita Hamad