Kuacha kazi mkuu inaitaji ujasiri mkubwa sana,na ujasiri tunao. lakini tunawawaza walionyuma yetu itakuaje,kuna watu wanakula na kusoma kupitia sisi,icho icho kidogo tunachopata tunagawana nao.sasa ukifanya maamuzi ya kuacha kazi uingie mtaani upambane miaka 5,hawa watu wataishije?Hiyo hali ilinikuta miaka 20 iliyopita nikafanya maamuzi magumu nikapiga chini kazi ya kuajiliwa nikaingia kitaa nikapata msoto miaka 5 baada ya hapo nimeajili watu kibao. Na mimi wembe uleule nawalipa mshahara wa kuwasogeza siku 10. Siku nyingine 20 ni mwendo wa kukopa, kutembea kwa mguu daadeki! Ubaya ubwela!
Kuna msemo mmoja wa kizungu unasema "bora ufe ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti",Kuacha kazi mkuu inaitaji ujasiri mkubwa sana,na ujasiri tunao. lakini tunawawaza walionyuma yetu itakuaje,kuna watu wanakula na kusoma kupitia sisi,icho icho kidogo tunachopata tunagawana nao.sasa ukifanya maamuzi ya kuacha kazi uingie mtaani upambane miaka 5,hawa watu wataishije?
unakunywa bia za sh ngapi kwani kwa siku na biayako moja inauzwa bei gani?Sina hela hizo bia ninazo kunywa ni wewe una lipia?
Muhimu inanunuliwa na pesa ma sio makaratasiunakunywa bia za sh ngapi kwani kwa siku na biayako moja inauzwa bei gani?
hela huna tafuta hela mkuuMuhimu inanunuliwa na pesa ma sio makaratasi
Mara pesa zinategwa mara now nitafute wewe kweli kiazi🚮hela huna tafuta hela mkuu
Au unapiga balimi bia za walimu😀Muhimu inanunuliwa na pesa ma sio makaratasi
Ziada inataka extra risk. The more the risky the more the returnTunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu.
Wanangu tatizo litakuwa nini hasa ??
Hayo mapambano yanakutengenezea msingi bora wa kesho.! Msikate tamaa.. Kesho yenu ni kubwa kuliko leoTunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu.
Wanangu tatizo litakuwa nini hasa ??
Bado tuna imani na kuamini hii kauli,lakini kuna muda yanatushinda tunabaki na sonona mioyoni mwetu.Mungu atusaidieHayo mapambano yanakutengenezea msingi bora wa kesho.! Msikate tamaa.. Kesho yenu ni kubwa kuliko leo
Unaishi dar nn?Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu.
Wanangu tatizo litakuwa nini hasa ??
kiazi babaako bwege weweMara pesa zinategwa mara now nitafute wewe kweli kiazi🚮
🚮kiazi babaako bwege wewe
mavi wewe
🚮mavi wewe