zaburi nalukamba
Member
- Jan 22, 2025
- 53
- 139
Yaani uwe maksai😁Mwanangu ishu ni kuloga tuu maana hata mimi juzi nilojiuliza hvi watu wanapataje pesa za kujenga..
Watu wanapataje pesa za kununua magari nikaja gundua kuna kuloga pia kuna bahati ila kingine kwa mwanaume ili ufanikiwe lazima uwe huna nguvu za kiume.. simanishi shoga hapana maana kuna watu wajinga humu watajua namanisha ushoga laaa...
Lazima uwe hauna nguvu za kutia tia mara kwa mara....