Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu

Yaani uwe maksai😁
 
Bila reforms mzee baba utashindwa hata kulipia hiyo kodi utakuwa mtaani ukila na kulala vibarazani.
 
Umemsema mwenzako kuwa amesema kwa uchungu, lakn we NDO UMESEMA KWA UCHUNGU ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…