House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Habari wana jukwaa.
Nyumba inapatikana Mwanagati (Kitunda)
Kutoka airport ni km 8 na kutoka banana ni km 5.
Nyumba inajitegemea kwa kila kitu.
Ina vyumba viwili vya kulala (master bedroom inclusive), kitchen, seating room & public toilet.
Ina tiles, gypsums, slides windows.
Ipo ndani ya fensi.
Kodi kwa mwezi tzs 200,000/

MAWASILIANO: 0785 857564

N.B kwa wale wanaohitaji viwanja vilivyopimwa (full tittled) maeneo ya mwanagati, tuwasiliane.
Viwanja vinanzia 20m, 25, 35m+ (kulingana na ukubwa wa kiwanja.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatakiwa kodi ya mieźi mingapi??

sent using Simenzi mayai
 
Kama ulicho comment ndio ufahahamu wako basi unasafari ndefu sana kwenye maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicho gundua wengi humu ni watoto sana, wanaposti ujinga ujinga cause ni kula kulala
 
Ukipata mteja wa 25M usiache chukua na usigeuke nyuma.Otherwise utakuja kuuza kwa 15M huko mbeleni.
umewahi kujenga au kusimamia ujenzi kwa gharama zako? Kama ungekuwa umewahi usingelisema hilo maana hiyo ni bei ya kujengea hiyo nyumba
 
Njoo home nikuoneshe mijengo ninayomiliki.Mm sio kula kulala aisee.
umewahi kujenga au kusimamia ujenzi kwa gharama zako? Kama ungekuwa umewahi usingelisema hilo maana hiyo ni bei ya kujengea hiyo nyumba
 
Wasalaam!

Huku tukiendelea kupambana na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona;
Nyumba inapatikana kivule (Matembele ya pili).
Kutoka lami mpya ni 1.3km
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni self contained.
(Jiko, sebule, public toilet)
Nyumba ina angalia barabara ya mtaa.
Pia kuna nyumba ndogo ya vyumba vitatu ambayo haijakamilika.
Ukubwa wa eneo ni sqm 2000
(Meter 50*40)
Bei: 50m
Mobile: 0785 857564


 
Nakushauri, fanya utafiti wa bei halisi (au elekezi) za eneo husika, ili tangazo lako lisipuuzwe.

Niko mwenyeji ya maeneo hayo, kitunda, kivule, kibeberu, mwanagati n.k ningeshauri, fanya mapitio ya bei ili angalau tuweze kujadili.

Nina mtu yuko na nia ya kupata maeneo ya huko na bei yako ukilinganisha na maeneo mengine ambayo ni mazuri na makubwa, haiwiani.

Nb; Ni ushsauri tu.
 
Njoo home nikuoneshe mijengo ninayomiliki.Mm sio kula kulala aisee.
Umenikumbusha kipindi nasoma, nilikuwa nimepanga geto ubungo, basi mwenye nyumba akinizingua namwambia hata sisi tuna majumba tena makubwa hiki chako ni stoo, twende kwetu nikakuoneshe...Kumbe kwetu hata jiko hatumiliki, tunakaa nyumba ya kupanga.
 
Pole sana!
Umenikumbusha kipindi nasoma, nilikuwa nimepanga geto ubungo, basi mwenye nyumba akinizingua namwambia hata sisi tuna majumba tena makubwa hiki chako ni stoo, twende kwetu nikakuoneshe...Kumbe kwetu hata jiko hatumiliki, tunakaa nyumba ya kupanga.
 
Nyumba imeshuka bei kutoka 50m hadi 45m

Maelezo:
Nyumba inapatikana Kitunda (manispaa ya Ilala)
Umbali wa km 7 kutoka airport.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala

Sebule, jiko, store, na choo cha ndani.
Maji na umeme vipo tayari
Nyumba ipo ndani ya fensi
Nyumba ya pili kutoka Barabara ya mtaa.

NYUMBA: Ina leseni ya makazi na eneo limesharasimishwa tayari (beacon zimeshapandikizwa)
Bei: 45m

More information: 0785 857564




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…