House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Kuna ndugu yangu alinunua nyumba na hela ya kustaafu akaingia nyumba kila siku watoto kuumwa mkewe kuumwa waganga na waumin wamemgeuza mgodi ss ivi kaamua kupangisha nyumba nzuri lakin anapangisha bei ndogo
Wauzaji wa nyumba wangelikuwa wanatupatia walau siku Tatu kulala ili tujiridhishe kama hakuna mauzauza pindi tutakaponunua nyumba hizo.
 
Kuna ndugu yangu alinunua nyumba na hela ya kustaafu akaingia nyumba kila siku watoto kuumwa mkewe kuumwa waganga na waumin wamemgeuza mgodi ss ivi kaamua kupangisha nyumba nzuri lakin anapangisha bei ndogo
Nyumba za kununua bei rahisi ni janga la familia.
 
Habari wana jukwaa.

Nyumba inapatikana Kitunda kilomita 8 kutoka airport na Kilomita 5 kutoka Banana.

Ukubwa wa NYUMBA
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala
Ina sebule, dinning room na public toilet
Ina tiles, gypsums board na feni kila chumba.
Ipo ndani ya fensi
Kutoka stand ya daladala ni dakika 2-3
Parking ya gari IPO.
Maji yanapatikana

UTARATIBU WA KULIPA KODI
kodi ni tsh 200,000
Kuanzia miezi 3-6 inapokelewa.

Mawasiliano: 0785 857564

Ni mtu mmoja anayekaa au ndio ya kushare na wapangaji wengine
 
Nyumba iko kitunda sehemu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…