Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauzaji wa nyumba wangelikuwa wanatupatia walau siku Tatu kulala ili tujiridhishe kama hakuna mauzauza pindi tutakaponunua nyumba hizo.
Nyumba za kununua bei rahisi ni janga la familia.Kuna ndugu yangu alinunua nyumba na hela ya kustaafu akaingia nyumba kila siku watoto kuumwa mkewe kuumwa waganga na waumin wamemgeuza mgodi ss ivi kaamua kupangisha nyumba nzuri lakin anapangisha bei ndogo
Ni mtu mmoja anakaa au na wapangaji hebu naomba nipe majibuAvailable
Chakula hicho[emoji13][emoji13]Nyumba anakaa mtu mmoja, ila kuna kachumba upande wa uani ndio anakaa binti wa mwenye nyumba.
Nyumba iko kitunda sehemu gani mkuu?Habari wana jukwaa.
Nyumba inapatikana Kitunda kilomita 8 kutoka airport na Kilomita 5 kutoka Banana.
Ukubwa wa NYUMBA
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala
Ina sebule, dinning room na public toilet
Ina tiles, gypsums board na feni kila chumba.
Ipo ndani ya fensi
Kutoka stand ya daladala ni dakika 2-3
Parking ya gari IPO.
Maji yanapatikana
UTARATIBU WA KULIPA KODI
kodi ni tsh 200,000
Kuanzia miezi 3-6 inapokelewa.
Mawasiliano: 0785 857564
View attachment 1522060View attachment 1522061View attachment 1522062View attachment 1522063View attachment 1522064View attachment 1522065View attachment 1522066View attachment 1522067View attachment 1522068
Basi patakuwa pazuri sana hapo😋😋Nyumba anakaa mtu mmoja, ila kuna kachumba upande wa uani ndio anakaa binti wa mwenye nyumba.
Unapunguza tena??Kodi imepungua kidogo
200,000-180,000tsh
Majibu ya madalali hayawagi straight hata siku moja sasa hapo si ungejibu tu watu wawili wanakaaNyumba anakaa mtu mmoja, ila kuna kachumba upande wa uani ndio anakaa binti wa mwenye nyumba.