Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

Rais hapaswi kua mropokaji. Alishindwa nini kukataa kujibu swali hilo na kusema tuu liko mahakani na tuiachie mahakama?.

Yeye ni zao la mfumo onevuu na kandamizii, anajua kabisaa jinsi chama chake na serikali vinavyo onea watu, alishindwa nini kua na subra ili ajue ukweli wote ndio atoe kauli?.

Manafiki.
CCM wanaroho mbaya sana. Hivi wanashule zao wanazosoma au ni hizi tunazosoma wote?

Sijui kwenye maadili yao hiyo ni sifa moja wapo au ni kwa ajili ya kutafuta madaraka. Wengine ukiwaangalia wapo tayari hata kuuwa ili abaki madarakani.

Tatizo kubwa lipo hapo polisi kuingilia hata mambo yasiyowahusu. Ona Sasa wanavyoumbuka.

Tanzania ya Leo sio wakati wa nyerere nyakati zinabadilika.

Nampa mama pole sana hizi vurugu sidhani Kama ataziweze.
 
Kama hakuwa na details kwanini akaenda BBC kwenye ile interview na kusema wana ushahidi wa kutosha kumfunga Mbowe?

Au baada ya kuona amepotoshwa akapotea ndio akaamua kumzawadia yule jaji cheo ili amsaidie kufukia mashimo yake aliyotengeneza kwenye ile interview?

Kama hilo hapo juu sio kweli, anajiamini kwa alichosema kwenye ile interview na ana waamini wasaidizi wake waliomwambia wana ushahidi wa kumfunga Mbowe, kwanini asingesubiri yule jaji amalize kusikiliza ile kesi ndio ampe zawadi ya cheo?

Naona hapa Rais alikubali amepotoshwa na akapotea, ndio maana akawahi kujitengenezea njia kwa kutoa cheo ili asiaibike siku ya hukumu, lakini bado haitoshi, aibu hii itamuandama tu, kwa ushahidi ule unaotolewa na mashahidi wa jamhuri unaonesha dhahiri hakuna kesi pale, wanalazimisha tu.
Ni ushamba, ulimbukeni na kutaka kujishebedua tu
 
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Huyu ma mvivu wa kufikiri anasubiri wamwambie au wamsimulie...magufuri pamoja na madhaifu mengi alikuwa ana pre empty na kuhoji na kuja na concept ....conceptualization skills yake iliwaogopesha hata wasimuliaji au informers.....huyu wa Sasa Kuna wenye njaa wakija na ka project kao Kama kakuua chadema mazaa mwoga anapitisha
 
Mkuu naona unajaribu kumnasua.
Kama tulimsifia kuwaachia masheikh wa uamsho, Kama tulimsifia kufuta kesi ya akina rugemalira. Hivyohivyo aliweza kuifuta kesi ya mbowe.
Tuache kutafuta visingizio eti kuiachia mahakama. Mbona kwenye uamsho na rugemalira hatukuiachia mahakama iamue?
 
Yaani sikusoma hadi mwisho kwa hasira, iweje umtoe jwa kusema eti mama hawezi kuingilia kwani ni mhimili mwingine?
Hiyo kesi sio ya Mahakama bali ni ya serikali (DPP) na huyo yuko katika mamlaka ya Executive yaani chini ya Rais hivyo alikuwa na uwezo wa kuagiza aondoe mashtaka hayo ya kubumba badala ya kumuacha Mbowe aendelee kutaabika eti mahakama itauona ukweli!
Hawa ndio kesho mambo yakiwageukia wao wanabaki kuomba huruma.
Au anadhani yeye atahutumiwa kwa jinsia yake?
Ndio hapo sasa
Kama aliweza kufuta kesi ya uamsho, akaweza kuondoa kesi ya rugemalira. Hivyohivyo aliweza kuiondoa kesi ya mbowe
Kifupi mama anataka kupita kirahisi 2025 ndio maana anakomaa na mbowe
 
Tanzania ya Leo sio wakati wa nyerere nyakati zinabadilika.
HAPANA ndugu yangu,
ujinga huu ni wa Nabii Njozi wa Burigi ambae hakuwahi kujaaliwa hekima wala busara LAKINI aliedhani anaweza kulazimisha kupendwa.
Akaishia kulazimisha mvuto kupitia wenye tamaa, watesi, madhalimu waliojaa ushetani AMBAO baadhi wanaendelea kusumbua mpaka sasa.
Katika mahangaiko yao, wananchi wakajazwa njaa endelevu iliyojenga uoga, unafiki na wengine hata KUMWABUDU ili kujikimu. AMEN.
 
Mama alitumia neno instigation katika majibu yake. Yaani kwa maneno mengine Mbowe anashtakiwa kwa kuchochea yaani mchochezi.
 
Kwanini alimpandisha cheo yule hakimu wa mwanzo katikati ya kesi? Huyu mama ni mshenzi tu Kama mwenda zake
 
"Pigeni kura mnavyotaka ila serikali tutaunda sisi". Mtu mwenye msimamo kama huo hawezi kudhaniwa ni mwema na mwenye huruma. The truth hurts. Hayuko kama unavyodhani.

Hii kesi ina mengi ya kushangaza. Askari anayetuhumiwa kumbambikia mstaafu memo ya tembo (na kutaka alipwe mamilioni mengi kiishe) ndiye kasachi watuhumiwa. Muuza mbege kasema alishuhudia hayo na akaona vimepatikana vitu vigumu wakati hakuvishika aone ni vigumu. Kete za heroine eti. Sio vitu vigumu!

We are looking at a den of vipers.
 
Mama anadanganywa sana sijui atashtuka lini.
Inawezekana alidanganya au anajua kilakitu bali anataka urahisi wa uchaguzi wa 2025 yeye kupita bila Mbowe kuwepo uraiani maana yeye na chama chake ndio wahamasishaji wakubwa wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mkuu si unajua mbele ya tume huru CCM hawatoboi haha
 
"Pigeni kura mnavyotaka ila serikali tutaunda sisi". Mtu mwenye msimamo kama huo hawezi kudhaniwa ni mwema na mwenye huruma. The truth hurts. Hayuko kama unavyodhani.

Hii kesi ina mengi ya kushangaza. Askari anayetuhumiwa kumbambikia mstaafu memo ya tembo (na kutaka alipwe mamilioni mengi kiishe) ndiye kasachi watuhumiwa. Muuza mbege kasema alishuhudia hayo na akaona vimepatikana vitu vigumu wakati hakuvishika aone ni vigumu. Kete za heroine eti. Sio vitu vigumu!

We are looking at a den of vipers.
Hahaha hii inachekesha sana, jamhuri itatuthibitishiaje huyo mbambikizi mkubwa wa meno ya tembo hakuwambambikia kina adamoo kwa ushahidi huo wakujichanganya kati ya mashahidi?!
 
Ndio hapo sasa
Kama aliweza kufuta kesi ya uamsho, akaweza kuondoa kesi ya rugemalira. Hivyohivyo aliweza kuiondoa kesi ya mbowe
Kifupi mama anataka kupita kirahisi 2025 ndio maana anakomaa na mbowe
Ila hapo ndio anapokosea, ajue hawezi kaa milele ataondoka tuu madarakani na ajaye aweza kubadili vifungu vya kinga na akafungwa kwa hila kama afanyavyo yeye. Kwani kuwa mwanamke ndio kinga ya kuonewa huruma hata kama wewe hukuwa na huruma kwa maumivu ya wengine mliyotengeneza?
 
Yule mama siyo mwislam Safi, usitishwe na kile kitambaa alichofunga kichwani. Yule ni nyoka mwenye makengeza.
 
Rais hapaswi kua mropokaji. Alishindwa nini kukataa kujibu swali hilo na kusema tuu liko mahakani na tuiachie mahakama?.

Yeye ni zao la mfumo onevuu na kandamizii, anajua kabisaa jinsi chama chake na serikali vinavyo onea watu, alishindwa nini kua na subra ili ajue ukweli wote ndio atoe kauli?.

Manafiki.
Mswahili akae kimya? Uliona wapi??
 
WWe
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Well said
 
Back
Top Bottom