Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

Jamani chini ya awamu hii ni upuuuzi hakuna cha viongozi,,
 
Mama ni zao la sisiyemu iliyo jaa mateso na umasikini kwa wananchi. Hiki chama cha kijani mlengo wa ni mmoja kuhakikisha wanabaki madarakani. Kuanzia magogoni hadi posta wote wanajua hii kesi ni ya kuunga unga hii inaonesha maamlaka wanajua.

Kuna mtu anasema mahakama iko huru na mama hawezi kuingilia. Nakumbusha mkuu wa mahakama pindi jaji wa mbowe anaapishwa alisema mahakama haifanyikazi yenyewe inasikilizq na serikali.

Mama ni mbigili inachoma na kuwasha ila safari lazima iendelee
 
Inawezekana alidanganya au anajua kilakitu bali anataka urahisi wa uchaguzi wa 2025 yeye kupita bila Mbowe kuwepo uraiani maana yeye na chama chake ndio wahamasishaji wakubwa wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mkuu si unajua mbele ya tume huru CCM hawatoboi haha
Anatakiwa atambue kuwa hata akimfunga Mbowe matakwa ya Katiba mpya yako palepale.
 
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Namimi naona kama unavyoona.

Mungu ni mwema siku zote.
 
Hakuna kitu kama hicho katika majukumu ya uongozi. Lawama zinafika kwa mama. Kwa nini hajui? Lazima ajue. Hilo na mengine. Kama hajui, au hawezi kujua, si lazima awe rais. Ni uchaguzi wake kuwa rais!
 
Anatakiwa atambue kuwa hata akimfunga Mbowe matakwa ya Katiba mpya yako palepale.

Huyu ma mvivu wa kufikiri anasubiri wamwambie au wamsimulie...magufuri pamoja na madhaifu mengi alikuwa ana pre empty na kuhoji na kuja na concept ....conceptualization skills yake iliwaogopesha hata wasimuliaji au informers.....huyu wa Sasa Kuna wenye njaa wakija na ka project kao Kama kakuua chadema mazaa mwoga anapitisha
Kwanza wahuni wanamjia na Facts za uchaguzi na hali ya siasa. Wanakuja na Data za ukweli wanamwekea mezani Data zinazoonesha kuwa Akiwaacha Chadema na Mbowe wafanye siasa basi 2025 Ccm chali. Baada ya hapo wanampa madhara yake binafsi, chama na utawala yatakayowapata ikiwa wataondoka madarakani. Katika hali hii anaingiwa na woga then wanampa Way forward ya kishetani.
 
Kimsingi wakati wa utawala wa Magu watendaji wengi na hasa upande wa vyombo vya ulinzi na usalama waliwafanyia waTz mambo mengi sana ambayo siyo ya kiutu, hivyo mashaka yao ni kwamba wangeacha haki za kiraia, kisiasa na kidemokrasia zitawale uovu wao ungewekwa hadharani na pengine kutakiwa kuwajibishwa kwa waliyoyafanya na hili nadhani ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa.
Mama naye kwenye mahojiano ya BBC alichemka, hivyo anaona shida kula matapishi yake mwenyewe , na hivyo naona amechagua bora nchi igawanyike kuliko kuifuta hii kesi ya kutunga. Huwa nafuatilia hutuba za mama , ukisoma saikolojia ya mama na body language wakati anahutubia unaona anamhukumu Mbowe kwa kumkosea adabu au kuonyesha kutotambua/kuheshimu mamalaka aliyo nayo na hivyo kutuma signal kwa Mbowe na wengine kwamba nafasi ile inaweza kukufanya chochote inachotaka kupitia vyombo vyake na usifanye chochote.
Nafasi hii ya uraisi inataka mtu aliyejaa hekima, busara na hofu ya mungu (katika kutenda na siyo kwa kuongea tu kama yule kiongozi wa malaika) vinginevyo mateso katika taifa hili hayatakuja kuisha.
well said
 
Mambo maovu yanayoibuliwa kwa sasa mengi yaliyotendwa na kutekelezwa na watawala unashindwa kuelewa ilikuwaje yakafika kiwango hicho huku tukiwa na Usalama wa Taifa TISS, JWTZ na Polisi.

Yaani inabidi ujiulize hivi vyombo viko kwa maslahi ya nani?

Sitaki kuamini kabisa.
 
Kama huyu mama ni mwanasiasa, na mfuatiliaji wa trends duniani...... (nashuku, la), hii kesi aimalize haraka sana kwa kumwachia huru Mbowe. Ajue kuwa hakuna kiongozi yeyote duniani anayeamini tuhuma alizopachikwa Mbowe. Ni kama yule wa Rwanda alivyomfanya yule hero wa Hotel mille collines. Hivi sasa anatamani akutane na Biden lakini hapewi tena nafasi. Misaada iliyomfanya avimbe kichwa, inaanza kukauka! Wamagharibi huwa slow katika ku react lakini mwishowe wana react. Wakati mwingine wanangojea fursa zitakazofaa kwa maslahi yao tu, lakini siyo kuwa wanafumbia macho!
 
Anatakiwa atambue kuwa hata akimfunga Mbowe matakwa ya Katiba mpya yako palepale.
Nakumbuka bunge la katiba mpya (Rasimu ya Warioba) mama alikuwa mpingaji mkubwa sana wa hili swala. Sasa anadhihirisha kivitendo alichokuwa anamaanisha bungeni enzi zile.
 
Rais hapaswi kua mropokaji. Alishindwa nini kukataa kujibu swali hilo na kusema tuu liko mahakani na tuiachie mahakama?.

Yeye ni zao la mfumo onevuu na kandamizii, anajua kabisaa jinsi chama chake na serikali vinavyo onea watu, alishindwa nini kua na subra ili ajue ukweli wote ndio atoe kauli?.

Manafiki.
Ndugu ni wapi ktk interview ile ya BBC Rais alimhukumu Mbowe? Alichosema jambo hilo liko mahakamani na mahakama itaidhihirishia dunia ukweli. Halafu siyo busara matumizi ya neno lako kuropoka!
 
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Ignorance of the law is no excuse
 
Sio akina kingai, sirro nk. Ni CCM ndio iliyotunga uongo huu kwa nia ya kuendelea kutesa watu
 
Urais ni taasisi kuu nchini,haipaswi kuropoka pasi na kuwa facts zote tena toka vyanzo mbalimbali
Kama urais unashawishiwa na Kingai,Mahita,Kaaya,mama muuza mbege na jambazi J4,basi ni Mungu pekee atakaye tusaidia.
Wewe Rais yeyote kila siku anapewa breafing na wakuu wa vyombo vya usalama, hizo breafing ndo kinapelekea majibu hayo,, su ulitaka Rais aingie mtaani mwenyewe kufanya ukachero?
 
Nakazia Mahita jr na Kingai ni vizazi vya laana na huyo Mahita mpaka kufikia hapo ni kwa kubebwa na juhudi za ushawishi alizonazo Mahita sn kwenye hilo jeshi ovu

Na ndo ule usemi kuwa jeshi limejaa watoto wa kota hii ndo maana yake halisi
Mimi nashangaa kwanini mawakili wa utetezi hawajademand uwepo wa Luten Urio mahakamani?
Maana hii issue inaanzia kwake kama informer, kwanini hawahoji huyu informer isijekua alipandikiza false information kwa kingai, kwasababu binafsi?,
Au upande wa mashitaka unahofu kumwita urio kwasababu haya mashitaka ni ya kweli?.
Kama sivyo, mawakili wanaamini vipi kama kweli au si kweli kingai alikua informed na URio kuhusu kina mbowe kupanga kufanya fujo?
 
Kifupi mama mwenyewe anataka Mbowe afungwe jela ili yeye apite kiulaini 2025, maana uwepo wa Mbowe uraiani utachochea madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kitu ambacho mama anajua ni hatari kwake. Kama Magufuli mwenyewe na umaarufu wake wote hakushinda kwenye chaguzi zote 2, mama ndo hatoboi kabisa. Ukiangalia trend ya mambo ya tozo,kupanda mafuta, machinga ...mama anazidi kuchukiwa hasa.

Uchaguzi wa 2025 upinzani utashinda kwa kishindo kuliko muda wowote. Watapata kura zaidi ya 65% Kitu kitakachoendelea ni matumizi makubwa ya dola na uporaji wa waziwazi. Mipango ni mama akishaapishwa tena, baada ya hali ya hewa kutulia ndo atoe "msamaha" kwa Mbowe. Au Mbowe aachiwe "ashinde" kesi yake ya rufaa wakati huo uchaguzi ulishapita na mama ameapishwa kimazabe. Tunza hii hii msg yangu kichwani. You will see
Yaani uwepo wa mbowe mtaani uzuie ccm wasishinde?, Are you dreaming?,
Kwanza 2025 bado mbali sana,, mbowe anaweza kuja mtaani na akianza harakati zake za masndamano, si anarudimo tu[emoji847]
 
Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.
Kwa hiyo wewe ndiwe unayejua anachopaswa kujua huyo mama?

Umeanza kwa kuandika "Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi mama hakuwa na details nayo hajui"

Kama ni MJINGA kiasi hicho unachotaka kutuaminisha kuwa ndivyo alivyo, basi hafai kabisa kushika uongozi wa aina yoyote ile.

Umejaribu kupeleka barua ya maombi kwake ili umsaidie kuepuka mambo ya ajabu kama yanayojitokeza kwenye kesi hii?
 
Mimi nashangaa kwanini mawakili wa utetezi hawajademand uwepo wa Luten Urio mahakamani?
Maana hii issue inaanzia kwake kama informer, kwanini hawahoji huyu informer isijekua alipandikiza false information kwa kingai, kwasababu binafsi?,
Au upande wa mashitaka unahofu kumwita urio kwasababu haya mashitaka ni ya kweli?.
Kama sivyo, mawakili wanaamini vipi kama kweli au si kweli kingai alikua informed na URio kuhusu kina mbowe kupanga kufanya fujo?
Inawezekana ukawa na haraka mkuu 'Elungata', kesi bado inaendelea na mashahidi wa utetezi nao hata bado hawajaanza kutoa ushahidi. Unajuaje, inawezekana Urio akawa ni mmoja wao?
Kutoitwa Urio kutoa ushahidi upande wa mashtaka ni dalili nzuri kwa washtakiwa kwa sababu kunadhoofisha kesi. Kwa hiyo vuta subira.
Huwezi kujua, inawezekana akawa ndiye shahidi wa (23 au 25?) wa mwisho upande wa mashtaka, maanake bado mashahidi wanaendelea kuitwa.
 
Kama huyu mama ni mwanasiasa, na mfuatiliaji wa trends duniani...... (nashuku, la), hii kesi aimalize haraka sana kwa kumwachia huru Mbowe. Ajue kuwa hakuna kiongozi yeyote duniani anayeamini tuhuma alizopachikwa Mbowe. Ni kama yule wa Rwanda alivyomfanya yule hero wa Hotel mille collines. Hivi sasa anatamani akutane na Biden lakini hapewi tena nafasi. Misaada iliyomfanya avimbe kichwa, inaanza kukauka! Wamagharibi huwa slow katika ku react lakini mwishowe wana react. Wakati mwingine wanangojea fursa zitakazofaa kwa maslahi yao tu, lakini siyo kuwa wanafumbia macho!
wakimkomesha mtu mrefu nitafurahi sana. Naona siku za hivi karibuni ameanza kuwa pan africanist
 
Back
Top Bottom