Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

Hii kesi kingai na siro wanaenda aibika vibaya sana
Ukiangalia jinsi majaji wanavyo-behave utagundua lengo ni kumfunga Mbowe na pengine aje atolewe kwa msamaha huko baadaye.
Kuna mambo mengi ya wazi kabisa kisheria ambayo yangepelekea kesi kutupiliwa mbali kwa kukosa vigezo vya kisheria kuendelea na kesi.
Lakini wao wamekomaa tu ili lile walilolipanga liweze kutimia .
 
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Acha ujanja mbona anashindwa kukutana na wapinzani na kufanya mazungumzo kwani ni suala la mhimili mwingine? Ipo siku atajutia haya.
 
Ndugu ni wapi ktk interview ile ya BBC Rais alimhukumu Mbowe? Alichosema jambo hilo liko mahakamani na mahakama itaidhihirishia dunia ukweli. Halafu siyo busara matumizi ya neno lako kuropoka!
Alisema wenzake na mbowe wanatumikia tayari vifungo. Sasa hapo huoni ameshamhukumu na mbowe?
Pia ni wenzake gani na mbowe wanaotumikia vifungo ikiwa kesi bado inaendelea?
 
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Kama uliangalia ile interview baina ya SSH na BBC basi katika dakika yan nne ( ) nagusuia habari ya Mbowe.

Alijibu kuwa ile kesi ilifunguliwa zamani na baadhi ya washtakiwa walikuwa washakamatwa .Polisi walikuwa wanaendelea na uchunguzi kwa upande wake Mbowe.
Pia mbowe alikuwa hayupo nchini kwa muda.
Alirudi wakati tayari wameanzisha vuguvugu la Katiba mpya. Sasa imesadifu kuwa polisi walikuwa washamaliza uchunguzi wawo na walikuwa wapo tayari kumkamata.
Kwa hivyo walimkamata wakati ime concide na vuguvugu hilo la katiba.
 
Ukiangalia jinsi majaji wanavyo-behave utagundua lengo ni kumfunga Mbowe na pengine aje atolewe kwa msamaha huko baadaye.
Kuna mambo mengi ya wazi kabisa kisheria ambayo yangepelekea kesi kutupiliwa mbali kwa kukosa vigezo vya kisheria kuendelea na kesi.
Lakini wao wamekomaa tu ili lile walilolipanga liweze kutimia .
Wamenyimwa maarifa Ili waangamie
 
Hakuna kitu kama hicho katika majukumu ya uongozi. Lawama zinafika kwa mama. Kwa nini hajui? Lazima ajue. Hilo na mengine. Kama hajui, au hawezi kujua, si lazima awe rais. Ni uchaguzi wake kuwa rais!
Kweli kabisa ni hiyari yake.
 
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?

Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona kabisa kua yeye alikua mtu wa kusimuliwa tu lakini siyo kwamba alikua anajua nature na source ya hii kesi. Naona kabisa master minds wa hii kesi ni watendaji ambao kimsingi walianza maandalizi toka 2020 ambapo yawezekana yeye alikua hajui kabisa.

Kwa ushahidi unaotolewa mpaka sasa kwa Mama alivyo na huruma kama mwanamke, inaonekana kabisa haifurahii hii kesi lakini anafungwa na kitu kimoja tu cha kwamba ule ni mhimili mwingine yeye hana maamuzi nao, anachosubiri ni kuona mahakama inatenda haki.Hata yeye kama muumini safi wa dini ya Kiislam naamini anajua kabisa hii kesi ni ya kutunga yenye lengo la kumkomoa mtu.

Mtihani mkubwa ni kwa DPP aliyepo ambaye kwangu mimi mpaka sasa naamini ni mtu anayependa haki, naye naona hakua anaijua hii kesi chanzo chake ameamua naye kuitazama mwenendo wake hadi mwisho na ndiyo maana amejali muda kwa kuipeleka mahakamani haraka ili maamuzi yafanyike na haki ya mtu ipatikane. Ukitaka kujua kua hata yeye DPP ameistukia hii kesi, angalia kuna ushahidi wa madawa ya kulevya lakini hayapo kwenye hati ya mashtaka.

Huu mzigo inaonekana kabisa ni wa kina Kingai,DCI Mstaafu na timu yake na hawa inaonekana wanajua kabisa hii kitu ni wapi inaanzia. Haiwezekani kuna watu wanaotajwa kama viungo kwenye hii kesi kina Sabaya,Kaaya na ASP Jumanne mpaka sasa wana walishakumbwa na tuhuma za utovu wa nidhamu na tuhuma za unyang'anyi tena wengine wanashughulikia vifungo. Hawa wote niliowataja watatu walitajwa kua walikua na shutuma za utapeli. Walishindwa nini kutengeneza kesi za uongo? DCI mstaafu, Kingai na wengine nani atawaamini? Ushahidi wanaoutoa mahakamani unatofautiana kwa kiasi kikubwa sana, haihitaji digirii kujua kua hii kesi ni ya kuchonga.

Ninachoomba na ndicho pekee cha muhimu, Mahakama itende haki pasina kumuonea wala kumuogopa Mtu. Hii kesi ni maarufu, ikihukumiwa kwa misukumo flani yenye hisia za kisiasa madhara yake ni makubwa nchini mno. Tunafahamu Sekeseke la Masheikh la uamsho lilivyoitesa serikali, Mbowe si mtu mdogo,ukitaka kulijua hilo fika mahakamani uone ni kina nani wanahudhuria kusikiliza kesi yake.

Sina sababu ya kumlaumu na kumshambulia Mama kwenye hii kesi. Wakutazamwa na kulaumiwa ni watendaji wa chini yake akiwemo IGP hawezi pia kukwepa lawama hizi na hata akistaafu Mbowe akiwa gerezani lawama hazitamuacha salama.
Hakuna mcha Mungu hata mmoja hapo, when it comes to political dominance wanakuaga zaidi ya shetana, sijasema kuwa kuna NTU ni shetani, la hasha. Mama Samia aliwahi kusema kuwa Lisu hakushambuliwa na askari wa Tz maana wasingemkosa! Alishasema hata mkiwapigia kura Wapinzani, CCM ndio wataunda serikali....leo unataka tumuamini kuwa ile interview alikua hana information?

Maswali Yale yalishachunguzwa kwahio alikua anajua fika anachojibu na impact ya kile anachojibu.

Mbona haijawahi kutokea akahojiwa tena? Ina maana media ilikua BBC tu?
 
Alisema wenzake na mbowe wanatumikia tayari vifungo. Sasa hapo huoni ameshamhukumu na mbowe?
Pia ni wenzake gani na mbowe wanaotumikia vifungo ikiwa kesi bado inaendelea?
Specifically kwa Mbowe ndiyo hoja. Narudia, alisema kesi iko mahakamani na asingetaka kuijadili na iachiwe mahakama; itadhihirishia dunia kama nikweli au si kweli kwa maana ya tuhuma.

Pili, ktk kesi mnaweza kuwa 10, wengine wakahukumiwa na wengine wakatoka, kutokana ushahidi kuwa mdogo. Sasa Rais kamhukumu wapi Mbowe?
 
Kama uliangalia ile interview baina ya SSH na BBC basi katika dakika yan nne ( ) nagusuia habari ya Mbowe.

Alijibu kuwa ile kesi ilifunguliwa zamani na baadhi ya washtakiwa walikuwa washakamatwa .Polisi walikuwa wanaendelea na uchunguzi kwa upande wake Mbowe.
Pia mbowe alikuwa hayupo nchini kwa muda.
Alirudi wakati tayari wameanzisha vuguvugu la Katiba mpya. Sasa imesadifu kuwa polisi walikuwa washamaliza uchunguzi wawo na walikuwa wapo tayari kumkamata.
Kwa hivyo walimkamata wakati ime concide na vuguvugu hilo la katiba.

Yaani magufuli akae mda wote huo asimkamate Mbowe?
 
Back
Top Bottom