Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo wote!
1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.
2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.
3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.
4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.
5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.
6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.
7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..
8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.
9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.
10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.
11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.
14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.
15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.
16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.
17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.
18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.
19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.
20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.
21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.
23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.
24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.
25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.
26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.
Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam