Tunapoelekea March 17: Ili ushinde Vita za kisiasa itakupasa aidha uwe Mwanahistoria mzuri au jasusi bobevu

Tunapoelekea March 17: Ili ushinde Vita za kisiasa itakupasa aidha uwe Mwanahistoria mzuri au jasusi bobevu

Namba 4.

Binafsi naona Siasa ni ngumu ikiwa tu haupo madarakani, ila ukiwa madarakani na Katiba inaku-favor, basi ni rahisi coz unakuwa na too much resources (rasilimali watu, mamlaka, fedha, n.k) at your disposal.

Hapo ni uwezo wako tu wa kuwa one step ahead (kuwa na ma spy 🕵️ kila kona kuanzia kata, wilaya mpaka idara kama jeshi, hazina, ili upate ripoti in real time za kila move inayofanyika)

Kuwa na madaraka nu rahisi kuliko kuyalinda madaraka.

Shida sio kuwa na spies shida ni unaishije na wasaidizi wako? Hapo ndipo patamu
 
Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.
Kuna aina mbili tu za maswali ambayo yana utata, maswali ambayo magumu kuuliza na maswali ambayo hata wewe ukiulizwa huwezi kuyajibu sababu aidha hayana majibu au ni magumu kuyajibu kitaalamu yanaitwa unsolved questions mpaka leo duniani watu wameshindwa kuyajibu yaan hayajaweza kujibiwa kisayansi, kihisabati wala kifalsafa ukiachia mbali kihistoria, ukitengeneza topic ambayo inakuingiza kwenye frame ya hayo maswali unajiingiza kwenye impossible puzzle, unsolved mystery hidden games & unsolved mysteries unajiingiza ndani kabisa kwenye mind-bending puzzle humanity still can't solve na mwisho unakutana na puzzles that have never been solved

Anza kusoma mwisho rudi mwanzo utanielewa
 
23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.

24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.

25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.
Hii barua imetoka patimo Mtibeli? Au nawe ni moja ya wanafunzi wa Yohana? 😁
 
Kuna aina mbili tu za maswali ambayo yana utata, maswali ambayo magumu kuuliza na maswali ambayo hata wewe ukiulizwa huwezi kuyajibu sababu aidha hayana majibu au ni magumu kuyajibu kitaalamu yanaitwa unsolved questions mpaka leo duniani watu wameshindwa kuyajibu yaan hayajaweza kujibiwa kisayansi, kihisabati wala kifalsafa ukiachia mbali kihistoria, ukitengeneza topic ambayo inakuingiza kwenye frame ya hayo maswali unajiingiza kwenye impossible puzzle, unsolved mystery hidden games & unsolved mysteries unajiingiza ndani kabisa kwenye mind-bending puzzle humanity still can't solve na mwisho unakutana na puzzles that have never been solved

Anza kusoma mwisho rudi mwanzo utanielewa

Leo hata nikiulizwa Swali lenye majibu sina jibu
 
Back
Top Bottom