Tunapoelekea March 17: Ili ushinde Vita za kisiasa itakupasa aidha uwe Mwanahistoria mzuri au jasusi bobevu

Hamjambo wote!

1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.

2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.

3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.

4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.

5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.

6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.

7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..

8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.

9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.

10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.

11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.

14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.

15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.

16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.

17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.

18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.

19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.

20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.

21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.

23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.

24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.

25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.

26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.

Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwanini machi 17 imepewa promo MWAKA huu vipi last years
 
Mungu azidi kumuacha hai Lucas , aje ashuhudie miujiza kwenye hizi siasa za TZA... Ipo siku utafungua Uzi humu jeiefu ukutane na Uzi wake akiomba wa Tz msamaha kwa kile alichokiamini hapo kabla.... Dunia hii ina mengi ..amini kwamba

Kwa sababu wajanja watamtelekeza.
Kikawaida wahuni ni watu wa principles ni kama wenye haki.
Hawawezi kuwaweka karibu Sana Chawa. Na ndicho ambacho vijana wengi hawajui.
 
Hamjambo wote!

1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.

2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.

3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.

4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.

5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.

6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.

7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..

8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.

9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.

10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.

11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.

14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.

15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.

16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.

17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.

18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.

19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.

20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.

21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.

23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.

24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.

25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.

26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.

Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Haya yote uliyoandika hapa anayatekeleza vizuri sana SSH ila roporopo kama kina Lisu wako nyuma ya nondo sababu ya mihemko na mizuka 🤣🤣

By the way hiyo March 17 mnaenda kufanya kumbukizi ya nini hasa?
 
Namba 4.
Kila kitu ni kigumu au kirahisi, inategemea umekilinganisha na nini.

Kiukweli, siasa wala hata sio kazi ngumu kwa mtu aliyepo madarakani. Zipo kazi ni ngumu zaidi kuliko siasa.

Binafsi naona Siasa ni tough tu ikiwa haupo madarakani, ila ukiwa madarakani na Katiba inaku-favor, basi ni rahisi sana coz unakuwa na too much resources (rasilimali watu, mamlaka, fedha, n.k) at your disposal, so mtu ashindwe yeye tu. Kazi ambayo ukisema watu kaa chini, wanakaa. Hiyo haiwezi kuwa ngumu kivile.

Hapo ni uwezo wako tu wa kuwa one step ahead (ku spy 🕵️ kila kona kuanzia kata, wilaya mpaka idara kama jeshi, hazina, ili upate ripoti in real time za kila move inayofanyika, ili uwe one step ahead)
 
Hamjambo wote!

1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.

2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.

3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.

4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.

5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.

6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.

7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..

8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.

9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.

10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.

11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.

14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.

15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.

16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.

17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.

18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.

19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.

20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.

21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.

23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.

24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.

25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.

26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.

Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
andiko makini.
ila pamoja na yote haya, wapo viongozi walishakuwa na military background na hizo Arts subjects, na bado wakafeli.

Yes ni vizuri kujipanga kihivi, lakini pia tukumbuke hakuna formula, unaweza kujiandaa na yote hayo na ukafeli pia sabb uongozi ni kama mambo mengine tu ambapo kuna muda utakuwa in your prime time, na kuna muda utalegeza (utapwaya, utapoteza focus) kisha wengine wakakuwepa pembeni.

Hata utawale kijeshi (autocratic leadership) bado tu when time comes, utashangazwa pia.

kiongozi wa nchi, ni muhimu kujua when to quit (a good dancer knows when is the right to walk off the stage)

Kuhusu, kiongozi kufahamu Historia., hii ni 🔥.
Kiongozi wa nchi ni vizuri afahamu historia ya empires, kingdoms, nchi na viongozi wa nchi mbalimbali waliopita tangu zama hizo za akina Julius Caesar na Roman empire mpaka enzi hizi za akina Andry Rajoelina (former head of state wa Madagascar aliyepunduliwa 2025) ,
Je walifanikiwa wapi, nini kiliwaangusha, n.k.
 
Hamjambo wote!

1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama.
Gharama ipi iliyomkuta JPM? Kama ni kifo kilichomtokea hakuna la kushangaza. It was a natural death, plain and simple. Kafia hospitalini kama inavyotokea kwa mamia ya wagonjwa nchini hasa wanaoishi na dalili nyeti za kiafya alikuwa nazo mwendazake.

Siasa zake kwa waliomuamini na kumpenda hazikuathirika chochote. Hakuna aliyeweza kuzipindua. Wako waliojaribu na wanaojaribu kumuiga hadi leo hii. Legacy yake ina watetezi kibao. Bahati mbaya kama ilivyo kwa binadamu wote kifo cha asili kilimfikia kwa namna yake biinafsi.

AU bado mnaamini na kuaminishana “conspiracy theories” za kuuawa na majasusi wa mahasimu wake? Ulizeni waliokuwa karibu naye kazini na nyumbani. Alikuwa mgonjwa wa muda mrefu. Zile ruka ruka, push-ups na foka foka nyingi zisiwachanganye.
 
Andiko lako zuri, ingawa umemtaja mmoja kwa jina, mwamba Magufuli , lalkini pia unamzungizia mwamba mwingine ambaye hukumtaja kwa jina.

Ukweli ni kwamba ushamba unapunguza maarifa..
Kudhani kwamba ukubwa wa madaraka yako unatosha kukuweka salama ni tatizo.
 
Gharama ipi iliyomkuta JPM? Kama ni kifo kilichomtokea hakuna la kushangaza. It was a natural death, plain and simple. Kafia hospitalini kama inavyotokea kwa mamia ya wagonjwa nchini hasa wanaoishi na dalili nyeti za kiafya alikuwa nazo mwendazake.

Siasa zake kwa waliomuamini na kumpenda hazikuathirika chochote. Hakuna aliyeweza kuzipindua. Wako waliojaribu na wanaojaribu kumuiga hadi leo hii. Legacy yake ina watetezi kibao. Bahati mbaya kama ilivyo kwa binadamu wote kifo cha asili kilimfikia kwa namna yake biinafsi.

AU bado mnaamini na kuaminishana “conspiracy theories” za kuuawa na majasusi wa mahasimu wake? Ulizeni waliokuwa karibu naye kazini na nyumbani. Alikuwa mgonjwa wa muda mrefu. Zile ruka ruka, push-ups na foka foka nyingi zisiwachanganye.

Nani anajaribu kumuiga aliyeshika mpini Kule juu?
Hao wanaojaribu ni mbinu tuu kufika Kyle juu wanakotaka kufika
 
Back
Top Bottom