Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
yaani umepiga mulemule, yule msukuma alikusanya kikundi cha watu flani wenye mihemko kama akina palamagamba kabudi akajihisi yupo salamaπJiwe alikusanya kikundi cha washamba wenzake akadhani atatoboa kwa kuwafanyia figisu wenzake.
Ni dalili nzuri pia hizi za kupona kwa schizophrenia π.
Mungu azidi kumuacha hai Lucas , aje ashuhudie miujiza kwenye hizi siasa za TZA... Ipo siku utafungua Uzi humu jeiefu ukutane na Uzi wake akiomba wa Tz msamaha kwa kile alichokiamini hapo kabla.... Dunia hii ina mengi ..amini kwambaππ
Yaani ni chawa lakini anafanya kiprofeshno
Kesho tunaenda kushudia unafiki wa wanasiasaKachero kama kachero
Kwanini machi 17 imepewa promo MWAKA huu vipi last yearsHamjambo wote!
1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.
2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.
3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.
4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.
5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.
6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.
7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..
8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.
9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.
10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.
11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.
14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.
15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.
16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.
17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.
18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.
19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.
20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.
21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.
23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.
24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.
25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.
26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.
Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwanini machi 17 imepewa promo MWAKA huu vipi last years
Kesho tunaenda kushudia unafiki wa wanasiasa
Mungu azidi kumuacha hai Lucas , aje ashuhudie miujiza kwenye hizi siasa za TZA... Ipo siku utafungua Uzi humu jeiefu ukutane na Uzi wake akiomba wa Tz msamaha kwa kile alichokiamini hapo kabla.... Dunia hii ina mengi ..amini kwamba
Haya yote uliyoandika hapa anayatekeleza vizuri sana SSH ila roporopo kama kina Lisu wako nyuma ya nondo sababu ya mihemko na mizuka π€£π€£Hamjambo wote!
1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.
2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.
3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.
4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.
5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.
6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.
7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..
8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.
9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.
10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.
11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.
14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.
15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.
16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.
17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.
18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.
19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.
20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.
21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.
23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.
24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.
25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.
26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.
Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Haya yote uliyoandika hapa anayatekeleza vizuri sana SSH ila roporopo kama kina Lisu wako nyuma ya nondo sababu ya mihemko na mizuka π€£π€£
By the way hiyo March 17 mnaenda kufanya kumbukizi ya nini hasa?
NimeshakaribiaKaribu Sana Lucas Mwashambwa. Siku hizi unafanya mambo kiprofeshno
Naunga mkono hoja kwa π―%Haya yote uliyoandika hapa anayatekeleza vizuri sana SSH ila roporopo kama kina Lisu wako nyuma ya nondo sababu ya mihemko na mizuka π€£π€£
By the way hiyo March 17 mnaenda kufanya kumbukizi ya nini hasa?
Mzee wa tafrijaMembe alikua kachero mbobezi
andiko makini.Hamjambo wote!
1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.
2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe, za kuleta maendeleo na kupigania watu wako lazima ufuate kanuni za msingi.
3. Ukiwa mwanahisabati au mwanasayansi pekee pasipo kujua historia hutaweza siasa za Nginja nginja. Utapigwa tuu. Na usipojua mambo ya kiusalama na hujafundisha intelejensia hutoweza kabisa siasa.
4. Hakuna kazi ngumu wala taaluma ngumu kama kuongoza watu. Siasa ndio kazi ngumu zaidi kuliko KAZI zingine.
Kuongoza watu unaongoza akili, fikra, wakati na future.
5. Historia ya Dunia. Na kama huijui vizuri basi ujue historia za kidini. Kwa sababu Dini ni siasa za zamani.
Mtu anayejua dini na visa vya dini ni rahisi Sana kuongoza hata kama hakusoma historia ya dunia.
6. Dunia inaongozwa tokea nyuma ikielekea mbele.
So kama hujui dunia imetokea wapi kamwe huwezi kujua inaelekea wapi.
7. Watu waliosoma Historia, Political science, Sheria na masomo yote ya utawala na dini ni rahisi kuongoza kuliko mtu ambaye hajasomea masomo hayo..
8. Kwenye battle lolote la kisiasa, Siku zote wanausalama na wanahistoria wanashinda makundi mengine.
9. Kwa sababu wanajua kanuni za kuongoza na kutawala watu.
10. Wanajua Tabia za watu
Wanajua kucheza na akili za watu.
Na wanajua kucheza na wakati. Wanajua muda sahihi WA kufanya maamuzi na kushambulia.
11. Wanajua mitego na kuitega mitego.
12. Wanajua kuunda mitandao.
13. Wanajua kucheza rafu na wanapokuwa down wanajua wafanye nini.
14. Wanahistoria wote na wanausalama wanajua kanuni ya kuwa Lower profile na low key kama mbinu za kivita.
15. Wanahistoria wote wanapokuwa viongozi waangalie wakiongea. Huwezi kuta wanapiga mikwala au kutoa vitisho au majigambo. Wanaacha muda. Muda ndio silaha Yao kuu.
16. Fanya utafiti Mdogo hata viongozi wanaotishia tishia na kutoa matamko ya vitisho au majigambo. Asilimia tisini na tisa sio wanahistoria na wala hawana misingi ya usalama.
17. Kanuni kuu mojawapo za wanausalama ni control yourself (kujidhibiti) kujidhibiti ni kudhibiti wengine. Hiyo ni kanuni.
Unapojidhibiti na kutokuw na mihemko unapelekea adui zako washindwe kujuaa next moves zako. So wanashindwa ku detect hatua zako.
18. Lakini ukiwa emotional. Rahisi Sana kupigwa na mipango yako kuwa wazi mezani kwa adui zako.
19. Ili mtu awe mtawala mzuri lazima awe bora kwenye historia na awe bingwa wa ujasusi. Aidha kwa kwenda jeshini kabisa au kujifunza mwenyewe.
20. Watawala smart na wanaojua kete yao ya mwisho iko wapi na watachezaje, hujitahidi kuficha Sana udhaifu wao.
Hawajibishani hovyohovyo na adui zao.
21. Hawabishani hovyohovyo mitandaoni.
22. Hawaingii kwenye Kila ugomvi. Bali hutumia mihemko ya watu kama dira na dashboard ya utawala wake.
23. Kuzima sauti za watu waliombali ni kukaribisha Adui karibu yako. Ni kuwasha sauti karibu yako.
24. Wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka. Na ndivyo ilivyo. Hiyo sio hadithi Bali ndivyo historia inatufunza.
25. Waache wa mbali wazungumze. Ili uweze ku-assess na ku regulate walioko karibu yako.
26. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Lakini ni chura aliyebwawani lakini sio chura aliyeingia kwenye mkonga wa tembo.
Mimi sina la ziada. Mwenye swali atafute wakumjibu. Leo sina lolote.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Gharama ipi iliyomkuta JPM? Kama ni kifo kilichomtokea hakuna la kushangaza. It was a natural death, plain and simple. Kafia hospitalini kama inavyotokea kwa mamia ya wagonjwa nchini hasa wanaoishi na dalili nyeti za kiafya alikuwa nazo mwendazake.Hamjambo wote!
1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama.
acha kukariri.Ndio Maana the best spies katika historia ukijajribu kuwafatilia masomo yao wengi unakuta wamesoma Social science haswa.. huwezi Kuta Jasusi eti ni mbobevu kwenye hisabati au ana degree ya quantum physics. NEIN
Gharama ipi iliyomkuta JPM? Kama ni kifo kilichomtokea hakuna la kushangaza. It was a natural death, plain and simple. Kafia hospitalini kama inavyotokea kwa mamia ya wagonjwa nchini hasa wanaoishi na dalili nyeti za kiafya alikuwa nazo mwendazake.
Siasa zake kwa waliomuamini na kumpenda hazikuathirika chochote. Hakuna aliyeweza kuzipindua. Wako waliojaribu na wanaojaribu kumuiga hadi leo hii. Legacy yake ina watetezi kibao. Bahati mbaya kama ilivyo kwa binadamu wote kifo cha asili kilimfikia kwa namna yake biinafsi.
AU bado mnaamini na kuaminishana βconspiracy theoriesβ za kuuawa na majasusi wa mahasimu wake? Ulizeni waliokuwa karibu naye kazini na nyumbani. Alikuwa mgonjwa wa muda mrefu. Zile ruka ruka, push-ups na foka foka nyingi zisiwachanganye.
Nimeshakaribia