Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Nipo hapa Tangu mwaka 2009 hii ni I'd nyingine wewe ni Nani kunifukuza Humu

Huna akili, you are cheap wasted sperm bao lako baba yako angemwaga chooni mtu wa hovyo Sana wewe

Nipo hapa Tangu mwaka 2009 hii ni I'd nyingine wewe ni Nani kunifukuza Humu

Huna akili, you are cheap wasted sperm bao lako baba yako angemwaga chooni mtu wa hovyo Sana wewe
Nitakushughulikia hata ukija na ID nyingine.

Napenda sana kushughulika na makanjanja ya mitandaoni yenye AJENDA FICHE.

Na mimi nikuhakikishie tu kwamba nitakufuatilia humu masaa 24 kama BUNDI.

Silalagi.
 
Hao aliwatambua ulimwengu:

View attachment 2562510

Huyo hayuko peke yake. Yuko na wenzake.
Mpuuzi toka Jana ananifuata fuata daktari uchwara daktari uchwara utafkiri nmewahi mtibu kwanza sijawahi saidia mtu msaada wa kiafya Humu Nawajua watanzania mtu akinifuata dm one thing namwambia wewe nenda hospitali sifanyi history taking na diagnosis mtandaoni mimi

He is arrogant and stupid Hana hata skills za ku argue very cheap
 
Ndio mim sina sababu siko field na sio part medical scientific team
Wewe una majibu gani kama hujui hata classification ya animals and plant usinlaumu mim jilaumu wewe kwa kukariru uko shuleni

Haya nisiyoyajua wewe umeyajulia wapi? Kwani wewe ni shetani, malaika au Mungu?
 
Nitakushughulikia hata ukija na ID nyingine.

Napenda sana kushughulika na makanjanja ya mitandaoni yenye AJENDA FICHE.

Na mimi nikuhakikishie tu kwamba nitakufuatilia humu masaa 24 kama BUNDI.

Silalagi.
Nmekublock nadhani hii ni comment ya mwisho kukujibu sishindi mitandaoni kama wewe na kazi nyingi za kufanya

Endelea kukaa kusubiria comments zangu Kila Nkija mtandaoni kuzijibu na ninakuhakikishia sintokujibu hata moja hata iwe irritating vipi sintokujibu

Sababu Huna akili
 
Wajinga huwa haturuhusu wawe issue wala kukutoa kwenye hoja. Akizidi Kuna button ya ignore binafsi sijawahi kujilaumu kuitumia kama ikibidi.
 
Endelea kukaa kusubiria comments zangu Kila Nkija mtandaoni kuzijibu na ninakuhakikishia sintokujibu hata moja hata iwe irritating vipi sintokujibu

Sababu Huna akili
Kazi yangu ni kushughulika na makanjanja ya mitandaoni kama brazaj

Nimejiajiri kwenye hii kazi, na ninaifurahia sana.

Rest assured, nitakufuata kila utakapokwenda.

Na usiponijibu ndio vizuri sana, lakini mimi nitaendelea kujibu kila upotofu unaouandika humu. Nitakujibu usiku na mchana kwa faida ya wengine.
 
Wajinga huwa haturuhusu wawe issue wala kukutoa kwenye hoja. Akizidi Kuna button ya ignore binafsi sijawahi kujilaumu kuitumia kama ikibidi.
Ni mpuuzi sijui hata nlmkosea wapi he keeps following me everywhere nmemblock now sioni chochote anachoniandikia
 
Anachanganya ebola wana present Sawa na Marburg ingawa ebola ni more virulence

Cha muhimu mpe Elimu aelewe ndicho nlichofanya

Serikali haina sababu ya kuficha aisee kwamba Ile ni ebola no haina hio sababu kabisa

Especially Serikali hii ya sasa
Mim na kutokuipenda science kale katopic ka-classification form two nakukumbuka sana
Marbug na ebola wako class moja ila wanatofautiana ni kama kwenye lentivirus kuna HIV, Bovine immunodeficiency virus na wengineo
 
Absolutely
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Serikali iko na kazi kiukweli hadi nimemuhurumia maza sio kwa bumunda hilo kah
Watu wanapingana na ripoti za waziri wa afya.
Ni vema watuletee sasa uchunguzi wao waliowapima hao wagonjwa,
Maana serikali iliyopima wagonjwa inatuambia hivi,ila Kuna watu wanasema hivi,tena kwa maneno matupu bila kuonyesha ni namna gani waliwapima hao wagonjwa.
 
Wajinga huwa haturuhusu wawe issue wala kukutoa kwenye hoja. Akizidi Kuna button ya ignore binafsi sijawahi kujilaumu kuitumia kama ikibidi.
Na ukitaka ujue huyo jamaa ni mshamba comment zake ni kwamba anampinga mleta Mada na mimi hivyo hivyo nampinga mleta maada
Kwa fact za shule zaidi ili aelewe ( meaning mimi na huyo bichwa tupo one side
Lakini angalia alivyofika kwenye comment yangu akaanza kutukana zπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yuko Sawa kweli
 
Wanakosea Sana Serikali haina sababu ya kuficha aisee no need for what Sasa
 
Kazi zetu sisi ni kutenga mchele na Pumba:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Hapo ndipo tunapoachana njia panda.
 
Kumbe magufulism bado inalitafuna taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…